Katika mapenzi ukiwa muongo utapata... Na ukiwa mkweli utapata

Sidhani kama ukisema uongo unapata kwa kuwa uliyemongopea anajua umemuongopea. Unapata kwakuwa sifa ulizodanganya ndizo anazoziangalia huyo unayemuongopea. Hivyo kinachokufanya upate ni sifa na si uongo, na ndio maana akigundua uliongopa ataondoka.

Tuje kwenye kusema ukweli, kama ukweli wako ni sifa zinazohitajika utapata; lkn kama ukweli ni sifa zisizotakiwa hutapata. Mf. Mimi sitaki mwanaume mlevi au mvuta bangi, ukiniambia wewe mvuta bangi of course nitakwambia kwaheri.

Hivyo basi uongo si kigezo, kigezo ni desired quality in you weather they are real or fake!
 
wanaume wengi wanajidanganya, hawajui kuwa hadi tuamue kuwakubali ni kwamba mioyo yetu imeridhika kuwa ni watu sahihi bila kujali maneno yao.
 
UONGO 1.wadada wote wa jf nawapenda naomba mnikubali ninaahidi sinto waumiza mimi nitakuwa barafu wa kupoza mioyo yenu iliyo umizwa na wakaka wasiyojua kupenda.nitafanya mpango soko kariakoo niwape mapato mtagawana. UKWELI 2 .nawapenda lakini sina pa kuwapeleka.kwakuwa namalizia dozi yangu ya kifua kikuu leo ningependa mnikaribishe kwenu ili niwe wenu.kwakuwa ninawapenda nitajitahidi kutafuta kazi ili niwahudumie ila kwa sasa naomba mnihudumie nyie. SWALI KATI YA MUONGO NA MKWELI NANI AMBAE HUFANIKIWA KWA UPESI? Shusha data

Wote mnafanikiwa inategemea na uelewa na mahitaji ya mpokea mada.
 
kwahiyo kumbe mwanaume anatakiwa awe makini kumsoma mdada kama anapenda kudanganywa au lah!?

Exactly, Ni muhimu SANA kujua unayeenda kumwambia anapenda nini.
Ila mimi sipendi kabisa kudanganywa afadhali mtu awe mkweli mjue mnafanyaje, kama ukimkubali ukubaliane na yote na haitakuwa shida kabisa mbeleni.
 
nimei mark hiyo.
 
Mmhh!!!inategemea unaemdanganya ni mtu wa namna gani kwani kuna mwingine kama hana haja ya kukupa hata uje na uongo wa vp hatakuelewa..sana sana utajichoresha tu!!!
 
Back
Top Bottom