Katika maisha acha watu wakutafute wewe

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Ukitaka upoteze quality katika maisha we piga piga simu bila break. Jifunze minerals zingekua zipo kila sehem zingekua za kawaida.
 
Hakikisha una hela ndo watu watakutafuta wenyewe kama huna. Hakikisha unawatafuta watu wakupe deal za kukupatia pesa ili utafutwe
Kasikilize wimbo wa darasa unaitwa sio mbaya kwenye baadhi ya mistari anasema kuwa mjinga kwenye maslahi siyo mbaya
Nimekupata mkuu uko vizuri.
 
Hakikisha una hela ndo watu watakutafuta wenyewe kama huna. Hakikisha unawatafuta watu wakupe deal za kukupatia pesa ili utafutwe
Kasikilize wimbo wa darasa unaitwa sio mbaya kwenye baadhi ya mistari anasema kuwa mjinga kwenye maslahi siyo mbaya
Uzi ufungwe jibu tosha kabisa huna hela unajifabga jeuri
 
Back
Top Bottom