Hii ni experience ya maisha YANGU. Tahadhari nisinukuliwe vibaya kwa kupingana mawazo.
Imani, utamaduni uliyojengeka katika nchi yetu. Kupata ni majaliwa haimanishi wewe bora kuliko wengine.
Usimdharau mtu. Leo unayemuona hafai kesho anafaa. Amini kwenye UWEZO wako, mchakato kutoka hatua moja kwenda nyingine, jifunze kila siku. Hakuna Mungu, binadamu, uchawi au mwanasiasa atakayekusaidiwa wewe.
Kupata au kukosa ni suala la muda tu hivyo subira iwe kubwa.
Asilimia 99.9 matatizo yanayotukumbuka hutokana na mwenendo mbaya wa tabia yetu. Kuweka matumaini sehemu ambapo pemekukataa ni matumizi mabaya ya muda.
Mungu pia anasifa ya ubaguzi kuna bidamu kawapendelea wengine kawanyima, kuna WATU wanamwanzo mgumu kwenye kujitafuta, kuna watu wamezaliwa vilema yatima hawakupenda kuwa ivyo.