Katika Kuongeza Kipato, Hawa Wamenishawishi.

BizNaughty

Member
May 22, 2012
16
1
Katika kuhangaika hangaika namna ya kujiongezea kipato, nikajikuta nalazimika kujiingiza katika what’s so called “Work At Home” or “Make Money Online.” Changamoto iliyopo ktk biashara hii ni katika kupata Legit Work At Home/Make Money Online Job! Nyingi, ni za kitapeli. Wataalamu wa masuala ya Online Jobs wanabainisha kwamba, Kila penye One Legit (Legal/Real) Work At Home/Make Money Online Jobs, kuna Sixty Fake Jobs! Katika kundi hili, Online Jobs zilizo maarufu ni zile zinazojulikana kama MLM na PTC (Paid To Click).

HINT TO ENTER WORK AT HOME/MAKE MONEY ONLINE JOBS!
The best way to be safe kwenye hii biashara ni kutofanya malipo yoyote in advance. Ipo baadhi ya mitandao ambayo inamtaka Member kulipa Registration Fee. Be careful, unless you have full information about the site. Wengi ni matapeli. Mbaya zaidi, hivi sasa kuna baadhi ya mitandao ambayo ina-act kama Legit News Centres! Ingawaje machoni wanaweza onekana kama ni chombo cha kawaida cha habari, lakini kimsingi unakuta ni mitandao ile ile ambayo shughuli yake ni kutangaza hizi Fake Jobs! Mfano mzuri wa hiyo kitu ni mtandao mmoja unaofahamika kama News Daily 7! Hawa jamaa ni Professional Scammers! Ukifungua mtandao huu unaweza kushawishika kwamba ni kweli Legit News Website! Humo utakuta Ads za kampuni mbalimbali za utangazi duniani kama vile CNN, BBC, Fox News n.k! Yote hiyo ni katika kupata attention!

NINI AMBACHO NINGEPENDA KUSHAURI.

Kama nawe ni mwenzangu ambae unatafuta namna ya kujiongezea kipato, basi usichoke till you get enough! However, be careful with many Work At Home/Make Money Online Jobs. Kama nilivyotangulia kusema hapo kabla, nyingi ni feki. Mie katika kutafuta various information about hii biashara, nikakuta na huu mtandao : NeoBux: The Innovation in Paid-to-Click Services . Hawa jamaa wanahusika na PTC Jobs. Hawa, angalau nimeshawishika nao. Si tu kwavile kuna rafiki yangu mmoja ndie alienipa infos zao, hapana! Nilijaribu kwanza kutafuta infos mimi mwenyewe. Sehemu ambayo ilinishawishi kuwaamini ni pale nilipotembelea Forum yao ambayo members wanajadili mambo mbalimbali. Kuna forum moja iliyokuwa na title: Making a Living Out of Neobux? Kuna michango mbalimbali ambayo karibu yote ni POSITIVE! Na haielekei hata kidogo kwamba wachangiaji ni among of neobux employees kutokana na michango yao. Kwa kiasi fulani, hawa wamenishawishi….! Hata hivyo, jambo moja lipo wazi, ni kazi inayohitaji commitment ya hali ya juu if you really wanna make money and not cents! Labda jambo lingine, kama upo busy and still you wish to make more money, then inabidi uingie mfukoni na kukodi Referrals! Ukibahatika kupata good refferals, basi unaweza kutengeneza hela nzuri sana!

Let me end here, ila kama unataka kujaribu bahati basi just get registered hapa:
NeoBux: The Innovation in Paid-to-Click Services. Hata hivyo, ukishajisajili, jaribu kwanza kutembelea FORUM kisha nenda kwenye sub forum ya Business and Finance. Ni muhimu kutembelea hapo ili ukajiliridhishe kwanza.

WISH YOU ALL THE BEST.

NB: Kwa wale wapenzi wa different type of Videos, Online and Offline Games, Online Shopping and many more, then try to visit http://www.myperfectinternet.com/?refid=2d9c0. Ukishafungua, click Join Now kisha enter your email adress and password. Ukisha-confirm password, click Terms, na ikishafunguka, scroll down na u-agree kisha tena click Privacy Policy na agree ndipo u-click Join Now for the second time.
 
Jinsi ulivyoandika taarifa yako, nawe pia ni miongoni mwao wale wezi au umeambukizwa technic zao!
 
Sijui kwanini, ila mimi huwa nakuwa wa mwisho mara zote kuamini mambo haya.

Siwezi kukushangaa Jaluo_Nyeupe, si wewe peke yako. Wengi sana na hata huko majuu hawaamini mambo haya. Na ukweli ni kwamba, wengi wao wanakuwa matapeli na ndio maana nikatangulia kusema wazi kwamba ogopa kama ukoma wale wanaokuambia inabidi ulipie.Usijaribu kabisa unless kuna mtu unayemwamini ambae anaufahamu mtandao husika. Suala la PTC, yaani Pay To Click ni biashara ya kawaida kabisa ughaibuni ingawaje vile vile sio PTC zote ni genuine. Lakini hao Neobux mie nimewa-study vya kutosha kabla sija-join nao. Lakini hadi sasa, ni zaidi ya miezi sita na sijalipa hata senti tano.Tatizo kubwa la PTC ni kwamba malipo yao ni madogo sana kwakuwa unalipwa according to clicks unazofanya kwenye matangazo ya advertisers mbalimbali. In most cases, unalipwa less $ 0.2 per every click you do. Njia pekee ya kuongeza kipato kwa staili hii ya biashara ni through referrals, yaani ku-invite members. Hata hivyo, tatizo lililopo kwenye referrals ni kwamba, majority hawaamini this type of business. Na ukitaka ufanye vizuri, basi ni lazima uwe unatumia angalau saa 2 kwa siku kwenye kompyuta yako. Hapo unaweza kuona matunda yake. Aidha, njia nyingine ni ile ya kukodi referrals kutoka hapo Neobux. Kwahiyo, ukikosid, ile kazi ambayo ulitakiwa kufanya wewe inafanywa na rented refferals. However, nayo haitoi guarantee kwavile ina-depend na how active refferals walivyo. Ila uzuri wake ni kwamba, referral hazikodishwi kwa bei kubwa. And am telling you, kama mtu anaamua ku-take risk na kukodi refferals na ku-invite watu kupitia kwenye PTCs websites ambazo huwa wana-adverise kwa bei ndogo, unaweza kuona matunda yake; count on my words. Hata mimi nilianza kuona matunda kidogo baada ya kukodi hizo refferals. Sijapata mkwanja wa kutosha lakini uongo, nimejiongezea kipato changu kwa kiasi fulani. Uzuri wangu ni kwamba, huwa siogopi kujaribu na sasa nina mpango wa kuweka ads zangu kwenye PTC websites na soon nitaongea na JF niweke ads zangu hapa jamvini. I have nothing to worry kwa sababu nafahamu sitasababisha madhara ya kuibiwa kwa yeyote. Kama nilivyoshauri, wewe ingia hapaNeoBux: The Innovation in Paid-to-Click Services kisha nenda kwenye forum ya Business and Finance kisha tafuta post isemayo Making a Living Out of Neobux? Fuatilia mjadala kisha upime critically na soon utagundua hakuna usanii wowote.

Likewise, nakushauri pia kutembelea hapa: http://www.myperfectinternet.com/?refid=2d9c0
 
if you need to know more abt these issue ingia kwenye hii blog yangu na upate kitabu cha bure kinachoeleza jinsi ya kufanikiwa kwenye hizi PTC sites. click HERE>
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom