Katika hali isipokuwa ya kawaida ni mtu ambae huwa nasahaurika sana

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
304
1,096
Habarini ndugu zangu,

Sijajua hii ni kwangu tu ama na wengine huwa mnapitia hi changamoto, nitatolea mifano

Sehemu za kutolea huduma, labda restaurant ninaweza kufika na kukaa ikapita saa nyingine hata nusu saa au robo saa sijasikilizwa au nikasikilizwa wakahudumiwa wengine Mimi badae mhudumu Hadi akaniomba msamaha kwa kunisahau.

Kwenye matukio mbalimbali shuleni hata ya adhabu ya pamoja ya vibuko si ajabu watu wote wakachapwa halafu Mimi nikasahaulika

Kwenye daladala pia konda anaweza kunisahau na ukute nimekaa kiti cha mbele tu ya konda pale, Kuna mdau kanishauri niende kwa mtaalamu wa kusafisha nyota anisaidie..
 
Hiyo sio tatizo Ila hauonekani , wewe ni Kama Seleman Jafo katika serikali yetu

So hakuna uchawi hapo
 
Back
Top Bottom