Katie Gee, "A Muslim woman just hit me in the street for singing on Ramadan. Is that normal?

Status
Not open for further replies.
Unajua serikali ya jamhuri ya Muungano inatatizo makubwa hawa watu wapeni nchi yao kwanza,kwani wanaharibu sio tu jina la zenji bali la Tanzania ,haya matukio ya watu kupigwa risasi,kumwagiwa tindi kali serikali imelikubali kwani kama nchi ina usalama wa taifa kweli ,kwanzia padri aliyejeruhiwa kwa risasi na mwingine kuuawa kabisa,kumwagiwa tindikali kwa baadhi ya mashekhe ,kuwaacha wanazungumzia uchafuzi wa amani kuongea kadri wanavyotaka hata kuvuka mipaka kabisa,Bomu limetupwa kanisani ,Rais akaahidi kuwakamata kokote kule waliko,kwenye mikutano ya kisiasa mabomu yanapigwa,kati ya matukio hayo ote hakuna hata mtuhumiwa hata mmoja aliyekamatwa,hata mmoja,sasa usalama wa taifa wamekuwa tu sasa wanafanya kazi gani mbona wanalipwa hela za bure.viongozi wanajiona kama wakosalama lkn sio ipo siku wao ndio watafuata,unafikiri hata wakikimbilia ughaibuni ndio itawasaidia wenyewe? Rwanda si walikimbilia bongo sasa wanarudishwa kwao!serikali ndio ilaumiwe imepewa madaraka ya nini kama haitumii meno yake sasa? hii ni serikali isiyowajibika ,serikali ambayo kila mtu anaweza kuuza madawa ya kulevya,wakati wanaouza madawa huwa ni mafiazi wanaokuwa na mtandano kote duniani wana watu wao.kila kitu inaweka mikono juu kama birdman ,kwake srerikali yetu sasa imekuwa ruksaa.nchi za wenzetu kama saudia umeona watu wanavyo nyongwa hadharani wau wachafu kama hao wauza unga na kama hao wanaoharibu sifa ya nchi,.kwanini tushindwe kulinda kitu tulichonacho wakati wahalifu tunaishi nao wenyewe sasa?sasa karibisheni tena wawekezaji kwa stahili ya kugawa tindikali.nchi yetu bana baba ,mama ,mtoto wote wana ndevu nchi yetu imekuwa na na uhuru kama wa kambale.sasa i upuzi huu msako wa kurudisha foreigners kwa sasa ungetumika kulinda amani kwa ajili ya nchi na wananchi wake ingekuwa vyema sasa mbona kumbe mengine wanafanya freshi mengine wanaacha ,inaonekana hawa serikali inajua ila inakaa kimya tu kwamba anajua mungu tu mwachie mungu ndie anayejua,sasa inaonekana sasa serikali inamatatizo ya uwajibikaji kabisa,wawajibishane wenyewe kwa wenyewe kwanza.unaweka kinga ya kutoshitakiwa hata kwa kwa balozi wa nyumba kumi kumi sasa unafikiri nini itatokea.
 
Nasifia uvumilivu wa wazungu kuruhusu wanawake wakiislam kufanya ibada yao hasa kuvaa nguo za kujihifadhi, kinachotekea ZANZIBAR ni uhuni wa viongozi wa ZANZIBAR, UK mahali palipo na wakristu wengi bado wanaendelea kulinda haki za waislam. Kuna chama kinaitwa ENGLISH DEFENCE LEAGUE, hakitaki waislamu wawepo UK, ila serikali imesema hapana inawapa haki ya kuandamana tu lakini sio kusema waislamu waondoke UK. Ni lazima tuheshimu haki za wenzetu regardless ya dini na imani zetu, viongozi wa ZANZIBAR ni washtakiwa namba mbili baada ya wamwaga tindikali.
Mkuu sio UK tu hata nchi zingine za magharibi wametengewa mpaka sehemu za kuabudia wawapo kazini na ukizingatia nchi hizo zimejaa wakristo lkn wanaheshimiwa/ wanaheshimu utu wa mtu na uhuru wa kuabudu. Inashhangaza sana kuona unamshurutisha mgeni afuate unachokiamini ilihali wao waendapo nchi za imani zingine huachwa waendelee na utamaduni wao. Tubadilike hii chuki haitufikishi popote sana sana itatuletea matatizo sisi wenyewe . Sifa ya ubaguzi ni kwamba huwa haiishi yaani wakimaliza kubagua walio nje wataanza kubaguana wao kwa wao na nahisi hiki ni kikundi kidogo kinachofanya haya yote ili kupandikiza chuki kati yetu.
 
Zanzibar inakua kuwa nchi ya kigaidi na ugaidi wenyewe tunaulea kwa kutetea kuwa wanaofanya hivyo siyo waislam.

Nashangaa kama ifuatavyo:

Muislam akitenda kitendo hicho cha kigaidi tukimwita ni gaidi waislam mnakuja juu kwamba tusihusishe uislam na ugaidi.

Muislam akitenda jambo jema mnasema huyo kwa kuwa ni muislam katenda hayo mema, nakubaliana nayo.

Mislam huyo akikutwa anatenda jambo ambalo ni la kigaidi au uhalifu wowote akauawa red-handed mnasema ameuawa kwasababu ya dini yake.
 
huyo demu wa ki-thungu aisee anataka sifa au aonewe huruma na dunia, kwa kweli mbona sie wenyewe huwa tunaimbaga na kupiga ngoma mpaka mwezi wa ramadhani? mbona hakusema kabla ...ya ni bla bla tu ...ilaila kama mtu jeuri vibao muhimu...
 
tunacheza tu mziki wao , mbona lile la kupigwa watz kule ugiriki halikusemwa sana ? au wao ndo wana thamani zaidi kuliko waafrika kama kawaida ? sio kama nakubali hili jambo ila ngoma inapigwa na sisi tunacheza watakavyo wao, wao wakifanyiwa huwa hatulali ila wakitafanyia sie tukae kimya tu .MI NALAANI UNYAMA WOWOTE IWE WA ACID AU KUPIGWA KISA RANGI YAKO
 
Kaka wengi pia wenye msimamo wa kipuuzi ni anjaa kali, ni watu wenye ndoto/fikra finyu kabisa, hawazii hata kidogo impact ya swala analofanya...sasa kama huyo mama aliempiga binti wa watu makofi unafkiri hata anafikiria kuja kuenda say Uingereza??..wote wenye misimamo hio ni zere brain tu...
KUna vitu mi sivielewi kabisa na hizi dini za kuletewa, kwa mliopata nafasi ya kutembelea miji ya UK kama london, manchester na Reading NK, utakuta wapo wadada wa kiislam wamevaa nguo zao vizuri kabisa na kujifunika kwa mujibu wa dini yao, lakini wanapanda basi na mabinti waliovaa kabukta tu hasa wakati huu wa summer, hakuna kubugudhiana maana imani ni ya mtu binafsi.

Kiukweli chokochoko za UDINI ZANZIBAR ni kero sana, ni vema ieleweke ZANZIBAR sio JAMHURI YA KIDINI , kwa maoni yangu hata viongozi wa serikali ya ZANZIBAR ni wadini watupu na wamelea uozo huu wa ovyo. Leo ukiwa UK na passport ya TANZANIA unaangaliwa kwa jicho baya maana tumeonekana ni watu wahuni tusiokuwa na heshima na utu wa watu wengine.
 
kwahiyo serikali ndo ingezuia huyo binti wa kiyahudi asizabuliwe kibao na mwanamke?what if she was singing insults.?
'What if' lakini hujui alikua anaimba kuhusu nini! Ni wenda wazimu tu au chuki isiyo na mashiko ndio mtu anaweza kumzaba mtu tena binti mdogo kwa kuimba tu!
 
Mimi sifurahishwi na kitendo cha kumwagiana tindikali wala ubaguzi wa kidini lakini lazima tukubari kuwa unapotembelea sehemu ambayo wakazi wake wengi ni wa jamii moja na wana miiko yao unawajibika kuenenda na miiko yao ili msikwazane, kuna tetesi nimezisikia kuwa hao mabinti walikuwa wana tabia ya kula hovyo mchana wakati watu wengi wakiwa wamefunga kitu ambacho kwa Zanzibar si cha kawaida, sasa kama alishawahi kuzabwa kelbu kwa kuimbaimba alipaswa kuelewa kuwa kujifanyia mambo kiholela ni kuwa-provoke wenyeji wake. Kenya mirungi ni halali lakini ukizurula nayo TZ utakamatwa tu na wala kujitambulisha kwako kuwa kwenu Kenya ni halali hakutokusaidia kitu.
 
Mwenye busara na hekima Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, alisema dhambi ya kubaguana iwe kwa udini au ukabila ikishaanza hakuna atakayepona! Kwa nini Mwalimu Nyerere aliweza kuiongoza nchi kwa muda mrefu na kuonekana kisiwa cha amani,lakini sasa hivi wanafunzi wake wanashindwa? Ubinafsi wa kujilimbikizia mali na kutojali matatizo ya wananchi ndiyo tatizo kubwa la waliopewa dhamana ya kutuongoza!
 
KUna vitu mi sivielewi kabisa na hizi dini za kuletewa, kwa mliopata nafasi ya kutembelea miji ya UK kama london, manchester na Reading NK, utakuta wapo wadada wa kiislam wamevaa nguo zao vizuri kabisa na kujifunika kwa mujibu wa dini yao, lakini wanapanda basi na mabinti waliovaa kabukta tu hasa wakati huu wa summer, hakuna kubugudhiana maana imani ni ya mtu binafsi.

Kiukweli chokochoko za UDINI ZANZIBAR ni kero sana, ni vema ieleweke ZANZIBAR sio JAMHURI YA KIDINI , kwa maoni yangu hata viongozi wa serikali ya ZANZIBAR ni wadini watupu na wamelea uozo huu wa ovyo. Leo ukiwa UK na passport ya TANZANIA unaangaliwa kwa jicho baya maana tumeonekana ni watu wahuni tusiokuwa na heshima na utu wa watu wengine.

Wewe hujui kama Zanzibar ni nchi ya Kiislamu ooh pole sana. Kama 99% ya wakazi wake ni Waislamu kwa nini wakatazwe uzingatia misingi ya dini yao? Wacha upuuzi wako.
 
Mimi sifurahishwi na kitendo cha kumwagiana tindikali wala ubaguzi wa kidini lakini lazima tukubari kuwa unapotembelea sehemu ambayo wakazi wake wengi ni wa jamii moja na wana miiko yao unawajibika kuenenda na miiko yao ili msikwazane, kuna tetesi nimezisikia kuwa hao mabinti walikuwa wana tabia ya kula hovyo mchana wakati watu wengi wakiwa wamefunga kitu ambacho kwa Zanzibar si cha kawaida, sasa kama alishawahi kuzabwa kelbu kwa kuimbaimba alipaswa kuelewa kuwa kujifanyia mambo kiholela ni kuwa-provoke wenyeji wake. Kenya mirungi ni halali lakini ukizurula nayo TZ utakamatwa tu na wala kujitambulisha kwako kuwa kwenu Kenya ni halali hakutokusaidia kitu.
e bwana ndio,imetulia mkuu...
 
Wewe hujui kama Zanzibar ni nchi ya Kiislamu ooh pole sana. Kama 99% ya wakazi wake ni Waislamu kwa nini wakatazwe uzingatia misingi ya dini yao? Wacha upuuzi wako.

Mpuuzi mama na baba yako uwe na heshima unapochangia mjadala, ZANZIBAR sio NCHI ya KIISLAM hakuna mahali ZANZIBAR imetangazwa kuwa DOLA ya KIISLAM , haki za RAIA ziheshimiwe kwa kila mtu na kwa kila DINI hatuwezi kuacha KUKEMEA UPUUZI wa KIHUNI unaondelea ZANZIBAR na TANZANIA BARA kwa mwamvuli wa DINI.
 
e bwana ndio,imetulia mkuu...

Haijatulia wala nini. Mirungi ni ILLEGAL, kula wakati wa mfungo siyo illegal. Usenge ni illegal wakati wa mfungo au la, lakini kila ------ akimwagiwa acid tindikali tungesikia tu maana ni wengi sana. Ukienda utawaona.
 
Mpuuzi mama na baba yako uwe na heshima unapochangia mjadala, ZANZIBAR sio NCHI ya KIISLAM hakuna mahali ZANZIBAR imetangazwa kuwa DOLA ya KIISLAM , haki za RAIA ziheshimiwe kwa kila mtu na kwa kila DINI hatuwezi kuacha KUKEMEA UPUUZI wa KIHUNI unaondelea ZANZIBAR na TANZANIA BARA kwa mwamvuli wa DINI.
Hicho ni kilema pendwa ubaguzi wa kidini ni kilema pendwa Hakuna Nchi Duniani yenye udini kisha ikajitawala kwa Amani udini hauna Nafasi ktk ulimwengu wa kisitaarabu kumbuka kuna watu mamilioni hawana dini (wapagani)je?wao watakuwa upande gani?
 
  • Thanks
Reactions: PhD
Wewe hujui kama Zanzibar ni nchi ya Kiislamu ooh pole sana. Kama 99% ya wakazi wake ni Waislamu kwa nini wakatazwe uzingatia misingi ya dini yao? Wacha upuuzi wako.

Wengine wanauchukia ukoloni wewe unatamani kulidia Koloni ka kiaraabu ! Hao waarabu Mbona ni wadini lakini huko misri Libya Damascus udini umegeuka kuleta majanga ! Jifunze toka huko udini umesaidia nini?mbona Israel inayamudu mataifa yote yenye kuendekeza Udini?pale Saudia hawana ubaguzi japo kuna waislamu wengi sana kuliko zenji
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom