Katibu wa uvccm wilaya ya hai achapwa akigombea malaya

RICHMAHOO

Member
Jan 15, 2011
49
14
kiongozi wa chama tawala UVCCM hai (MSAFIRI )alijikuta akipokea kichapo pale alipojiona yeye ni kidume wa chama tawala alitaka kutumia nafasi yake kujichukulia malaya alijikuta akipewa kichapo cha haja na kuamua kutimua mbio huku akikosa alichokitaka. haya yalitokea siku ya tarehe 27/01/2011 saa nane usiku kwenye bar maarufu ya Las Vegas kwenye mji mdogo wa Bomang'ombe ambao ni makao makuu ya wilaya ya HAI. Tuchangie tukijua ya kuwa tunahitaji viongozi wenye maadili na ambao wataingia kwenye mfumo mbovu na kuweza kuubadilisha. je huyu ataweza.??????????????????????????????????/
 
Duh.mheshimiwa diwani, huyo ni yule wa kisiki au? naomba na Mtenga ashughulikiwe ipasavyo. Nawasilisha kichaaa
 
:A S 20:hii noma lakini tamu ila nahisi tukiwafuatilia wanasiasa hakuna chama viongozi wake watapona si wa kike au wa kiume kwa hili nendeni nalo mdogo mdogo
 
Duh.mheshimiwa diwani, huyo ni yule wa kisiki au? naomba na Mtenga ashughulikiwe ipasavyo. Nawasilisha kichaaa

Msafiri si wa kisiki,yule ni wa kuja alipngwa kutoka mkoani,kisiki haina watu wapumbavu kama huyo,wala si mchaga.........nyisembo la kasa!!!
 
kumbe na wewe ni mlugaluga

Siku nakukamata utajua kama mi mlugaluga au vipi??mtu gani usiyechoka kukimbia??na ukimbie hivyo manake mlivyotoka mbali na huyo mbuni akikupta utajua pia kwanini yeye huficha kichwa na kuacha kiwiliwili juu akiona hatari......lol
 
ile mambo achana nayo..mi wala simlaumu, hapa issue ni je kazi anapiga?....otherwise hayo mengine ni kawaida...ila aache kukimbia. Mwanaume pigana.
 
Safi sana huyu jamaa namfahamu vizuri sana toka primary (Wilaya ya Manyoni) ni mtu anayependa kuchakachua wake za watu, sasa amepata alichokuwa anakitafuta. Hana lolote na wala si kisiki ni mtu anayependa tu kujipendekeza kwa mafisadi na yupo huko HAI kwa mgongo wa Chiligati tu.
 
Kwifweenda Kwayu??? Mbon taafooo...

Ntisha da mbe,kwambe tafo mae????

nyisembo la kasa!!!

Nshisha deny deny... Nkuukwikeiii?? Kudasalamaaaa???

...

Shifonisha den mangi akwa.mbon tafo ro baba.

Eka nkwe.yewe mbwa kwi ro maama

shikee wa kalali mbe......ewe mbwa nshara au nfony??


Laawe!!!
 
Back
Top Bottom