Katibu mkuu wa tff hoi;mwombeeniii

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Yule kaka aliekuwa akijibu jibu ovyo issue za mh michael wambura yuko hoi muhimbili akitafuta ma dk
wa kumsaidia sababu ya pressure...habari hizi ni kutoka kipindi cha clouds fm michezo
haabri zaidi zinasema alikuwa aghakan hali yake si nzuri amepelekwa muhimbili

naamini bada ya muhimbili ni appolo ama mutie mama asha alie huko kutibiwa mguuu anaweza tupa cost
ili tusimpoteze kijana wetu aliekuwa mstari wa mbele kuandika cheki feki za kina golikipa wa yanga,timu za simba na yanga waliposhinda ubingwa..ni huyu aliepinga cheki ameshapewa berko yaw mbele ya waandishi wa habari kabla ya kesho yake golikipa huyo kwenda kudai cheki yake na kupewa bahasha alipofika bank akaambiwa akuna pesa

natumaini mungu mweza yote atakupa nguvu na urudi kwenye shuguli zako z akila siku...wakati huo huo
\mgombea uenyekiti drfa mh m wambura amesema tff aitakaa iendelee kamwee..amesema hayo mbele ya waandishi wa habari akisema anashangaa mtu mzima kama katibu wa tff kukaa na kudili na upuuzi asioujua
mh wambura amesema tatizo la tff ni kubwa na soln ni wajiuzulu waachie wenye uwezo

unajua bana ile timu ya ni ya wahuni ,walevi watupu wamejaa tff so usishangae hata matatizo ya watu kuliwa hela zao ..sio kwamba hata wanafanyia mambo ya maana alisema wambura..akasema amekaa kimya lakini anashangaa tff wenyewe kwenye kamati zao kugongana gongana na kuonyesha hii ni cancer..nasema tff ni cancerr kuutibu ni ngumu labda uondoe woteee......yule katibu anajifanya anajua hana la zaidi ya kukaa nakukutanana walevi wenzake na kuanza kuropoka bila kujua anachoongeaaa...hata hivyo alisema amesikia kijana kaanguka na pressure anamtakia apone haaraka akitumaini ataacha mdomomdomo
 
Back
Top Bottom