stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 6,386
- 3,495
Wote?Akimaliza kutoa notisi hiyo na Mabalozi wake pia wanarudishwa nyumbani na ndiyo inakuwa mwisho wa misaada,Uwekezaji na Utalii.Mtakuwa tayari?
Pengine ni vema wanapohudhuria wanajithibitishia ugaidi ili watusaidie kuutokomeza,bado utataka wafukuzwe?
Akili za CCM wanazifahamu wenyewe.
yaaani ni misaada tu imejaa kichwan kwenu mbna jpm aliwatimua, nchi iliendelea tena uchumi ulipaa