Gazeti la Habari LeoMtoa mada umetudanganya kwa kuwa ndani ya nccr hakuna cheo au nafasi ya katibu mkuu wa nccr mkoa wa manyara, hivyo kuhusu mada yako hapa ni mbwembwe tu, pia hiyo idadi ya wananchama 100 ni usanii mtupu kwa kuwa huyo jamaa wa monduli alipogombea udiwani mwaka huu tarehe 2/10/2011 alipata kura 1 tu kwa ticket ya nccr ambayo inadhaniwa kuwa ni ya kwake, sasa swali la kujiuliza alipata wapi hao watu 100 wa kumfuata yeye. Ina maana na Cdm mnafanya usanii siku hizi wa kupokea matapeli, jiangalieni
ila mkuu ndiyo source yenyewe ,sijapata habari hii popote zaidi ya hapo.((Na mmiliki wa wahiyo radio i heard ni Ndesamburo)).