Katibu ccm Same adaiwa kukamatwa na Takukuru

MADORO

Senior Member
Nov 12, 2011
198
117
Taarifa nilizopata muda mfupi uliopita, kutoka kwa mdau Mkoani kilimanjaro ni kwamba Katibu wa CCM wilaya ya Same amekamatwa na Takukuru kwa tuhuma za kutoa rushwa kwa wajumbe wa Chama hicho katika uchaguzi wa chama hicho unaoendelea mkoani humo

Inasemekana alishikiliwqa kuanzia asubuhi na kuachiwa saa sita mchana baada ya kutolewa agizo kutoka katika ofisi ya Takukuru mkoa

Tafadhal mwenye taarifa sahihi atuhabarishe nami naendelea kufuatilia
 
Back
Top Bottom