Katiba

yona m

Member
Mar 24, 2015
13
14
Hii katiba mpya kwann wasiiache kwanza ili waendeleee kutafakari taratibu?,,,watanzania tambueni kwamba ni jambo la muhimu sana na la msingi sana,,,,,just think,,,,,,
 
hii katiba mpya kwann wasiiache kwanza ili waendeleee kutafakari taratibu?,,,watanzania tambueni kwamba ni jambo la muhimu sana na la msingi sana,,,,,just think,,,,,,

mchakato huu uko kisheria bhana we wa wapi bhana?? Hatuwezi kuingia gharama mara tatu tatu kaka elewa hivyo, na hii ni kwa manufaa hata yako wewe na wanao wa baadae.
 
Hii katiba mpya kwann wasiiache kwanza ili waendeleee kutafakari taratibu?,,,watanzania tambueni kwamba ni jambo la muhimu sana na la msingi sana,,,,,just think,,,,,,

Jukumu letu mimi na wewe ni kuisoma na kuwaelimisha wengine. Jukumu lingine la maamuzi tuwaachie mamlaka husika watimize wajibu yao kwa wakati wao kulingana na ratiba ya mchakato huo. Mungu ibariki Tanzania tufikie historia tunayoitamani ya kupata Katiba Mpya.
 
Yanaaa.......a mind of point less...watu walienda bungeni from the start leo kwa maslah yao wenyewe wafosi mchakato urudiwe kwa sababu zisizo na msingi......this iz the right time for the right event....ITS A PROPOSED CONSTITUTION......

Siwezi sapoti mtu aliyesusia mchakato kisa idadi ya serikali tena kibaya zaidi ni hoja ambayo haikuwa priority kwa watanzania....halaf utoke uje useme watu waigomee...hivi darasani hujaingia unatoka unakuja kusema unataka kutufudisha si dhambi hiyo mbele za mungu kwani unakuwa umepanga kutudanganya kwa kutujaza uongo...sheeeeenzi msione Wtanzania ni wajinga
 
Hii katiba mpya kwann wasiiache kwanza ili waendeleee kutafakari taratibu?,,,watanzania tambueni kwamba ni jambo la muhimu sana na la msingi sana,,,,,just think,,,,,,

Mi nachojua utaratibu wa kuahirisha zoezi hili muhimu au kuendelea nalo utatangazwa au kutolewa na serikali kupitia mamlaka husika,kikubwa upatikanaji wa katiba mpya nchini tanzania hauepukiki.
 
Back
Top Bottom