Katiba mpya= Darasa la saba wasiruhusiwe kugombea ubunge

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
473
Jaman kwa wale watakao bahatika kutoa maoni kwenye tume, waniwasirishie dukuduku langu kwenye tume,darasa la saba wasiruhusiwe kugombea ubunge kwenye chaguzi zijazo,kuwe na limitation kwenye. Level ya elimu kwa watu wanao gombea ubunge. Ilikurejesha hadhi ya bunge . Tuweke itikadi zetu za vyama pembeni juu ya hili.
 
kwa mtazamo wangu mi nadhani watakao ruhusiwa wawe wale wenye diploma na kuendelea na baada ya miaka kumi leval ibadilishwe iwe ni shahada peke yake tu.
 
Jaman kwa wale watakao bahatika kutoa maoni kwenye tume, waniwasirishie dukuduku langu kwenye tume,darasa la saba wasiruhusiwe kugombea ubunge kwenye chaguzi zijazo,kuwe na limitation kwenye. Level ya elimu kwa watu wanao gombea ubunge. Ilikurejesha hadhi ya bunge . Tuweke itikadi zetu za vyama pembeni juu ya hili.

Kama bungeni kuna vilaza kama profesa maji marefu ni sawa tu hata darasa la 4 wagombee tu
 
Yaani hapa hata madiwani nao darasa la saba iwe mwisho,Coz wanapigwa changa la macho tu na wakurugenzi!
 
Back
Top Bottom