mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 187
CCM hawaoni kasoro kwenye huu mswada wa sheria ya Mabadiliko ya Katiba? Wana Upofu gani huo? Yanayo wakuta Tambwe kuzomewa Karimjee, ni alama kuwa wamepotoka hebu rudini kwenye mstari there is nothing to loose, ruhusuni mchakato huru na usio kuwa na vitisho vya kuwafunga watu jela na kuzuia watu kupinga mahakamani. CHONDE CHONDE Jey Kei na watu wako nji hii ni yetu sote!!!!!!!!!!!!!