Kati ya vichaa hawa nani amepata nafuu...!!

Jun 6, 2012
40
9
vichaa wa3 walijaribiwa na daktari wao..daktari aliwaambia wakodi tekc waende mjini walipopanda dereva akawasha gari nakuzima alafu akawaambia 2mefika kichaa wa kwanza akashuka na kumpa hela,wapli akashuka na kumwambia axante,wa3 akashuka na kumwambia ckunyingne uckmbize gari hvyo lacvyo ha2topanda gari yko tena.............NANI.. ANAUNAFUU....!!
 
hahaaa...rudisha wote ndani...naona ndo wamezidiwa kabisa...
 
Back
Top Bottom