Kati ya nchi zinazotuzunguka, ipi ina mazingira rafiki kwa Mtanzania kuishi kitanzania?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Nchi ambayo hata mtanzania akitoka huishi kijamaa (japo kiukweli hata Tanzania kuna ukabila kwa mbali).

Nchi ambayo angalau kuna amani kama Tanzania

Nchi ambayo waweza kuanzisha hata duka la mahitaji ya nyumbani bila bugudha nyingi endapo ukilipa kodi.

Nchi ambayo suala la uchumba ama kuoana kwa Mtanzania na mwenyeji ni simple
 
Good luck mkuu, ila elewa nchi zinazojielewa huwezi kuhamia na ukafanya shughuli za kibiashara zilizowekwa kwa ajili ya wazawa tu, uchumi wa chini hadi kati ni wa wazawa tu, kama una special skills itakua safi zaidi, baki hapa hapa Tanzania maana tuna wachina wanauza mitumba kariakoo, ni investors!!!
 
Sababu:
1)Hawana mikodi kama kwetu
2)Mgeni anakuwa treated equally na mwenyeji
3)Watu wake ni good consumers
4)Kila mtu anamind business zake
5)e.t.c
6)e.t.c
Sema Mimi umri umenitupa ila nilipenda nikaishi kule siyo hapa tz.
Yes zambia wapo okay, democracy yao inachanua vema,uchumi wa poor of the poorest unakua, social services zinaboreshwa vema, hope's serikali yangu itaijenga upya T1 ili ishindane na wenzetu wa zambia (T2 ,ambayo inajengwa vema,pale nakonde ni tofauti na tunduma)
 
Nchi ambayo hata mtanzania akitoka huishi kijamaa (japo kiukweli hata Tanzania kuna ukabila kwa mbali)

Nchi ambayo angalau kuna amani kama Tz

Nchi ambayo waweza kuanzisha hata duka la mahitaji ya nyumbani bila bugudha nyingi endapo ukilipa kodi.

Nchi ambayo suala la uchumba ama kuoana kwa mtanzania na mwenyeji ni simple
RWANDA
 
Back
Top Bottom