kati ya mwanamke na mwanaume nani anaionea wivu jinsia ya mwenzake?

nyuli

Senior Member
Sep 7, 2012
128
95
Saikolojia inaonesha kati ya mwanamke na mwanaume kuna jinsia moja kati ya hizo huitamani jinsia ya mwenzake!

Wewe unafikiri kungekuwa na uwezekano wa kubadili jinsia kati ya mwanaume na mwanamke,upande upi ungeongoza kuikana jinsia yake?na unadhani kwanini?
 
Sijui kuwa mwanaume hivyo kwanini nitamani?
Mimi naona kwa idadi ya mashoga inavyoongezeka kila siku, nafikiri wanaume wanatamani kuwa wanawake japo kmoyo moyo.

Hereni masikioni, G'string (nenda JF photos utapata ushahidi), magauni (kanzu) na kadhalika mbili!
 
Infact wanawake wanatuonea wivu wanaume na wanatamani sana wangekuwa wanaume ndo maana unasikia vitu kama 'if i were a boy' na kutokea wasagaji/lesbian wanocheza nafasi ya mwanaume,n.k japo kuna wanaume nao hutamani kuwa wanawake lakini ni kwa idadi ndogo sana na kuangukia kwenye usenge,na kama ingetokea watu tukapewa nafasi ya kubadilisha idadi ya wanaume ingekuwa kubwa sana ukilinganisha na wanawake,im proud 2 be a real man
 
am proud to be a woman. na siwez kutaman kuwa mwanaume wakati sijui uanaume una raha gani. ukiangalia kwa makin wanaume ndo wanatamani kuwa wanawake manake mashoga, mapambo, na hata mavazi yanaonyesha hivyo.

jamani uanaume kazi lol! kwanza tu kutunza na kulea familia, bado hujaweka changamoto za kiume ni nyingi kuliko za kike bado hujakuja kwenye mambo yetu yale wanawake wanafurahi zaid kulikowanaume na wanaume wanachoka zaid kuliko wanawake basi ni wazi kwamba jinsia ya kiume wanataman kuwa wakike.
 
Sijui kuwa mwanaume hivyo kwanini nitamani?
Mimi naona kwa idadi ya mashoga inavyoongezeka kila siku, nafikiri wanaume wanatamani kuwa wanawake japo kmoyo moyo.

Hereni masikioni, G'string (nenda JF photos utapata ushahidi), magauni (kanzu) na kadhalika mbili!
Haita tokea hata siku moja mwanaume atamani kuwa mwanamke, hao mashoga si tunawaweka kwenye kundi lenu...we huoni hata tabia zao ziko kama zenu :bounce:
 
sasa fazaa kwani mwanaume anakuwa defined vipi na mwanamke je?

nijuavyo mimi mwanaume anakuwa defined kwa kuwa na uume na mwanamke kwa kuwa na uke. sasa kama shoga anatabia za kike haimaanish kwamba ni mwanamke hata kidogo bado huyu ni mwanaume ila tofauti ni kwamba anatuonea siye wanawake donge ndio maana anajibadilisha ili afaidi kama sisi akasahau kwamba hana mashavu wala kisimi kama siye.
 
Last edited by a moderator:
Wanaume ndio wataongoza kukataa jinsia yao kwa sababu zifuatazo.

  1. Mila na desturi zimeweka mazingira ya mwanaume ni lazima ajitume na awajibike ipasavo katika jamii na ndani ya familia yake. Hili kwa wanaume wavivu na lege lege ni mtihani kwa kweli, nahisi wengi wao hutamani bora wangezaliwa wanawake; Hivo nam support Kaunga hapo juu.
  2. Tokana na maadili kubadilika na kitendo cha kuingiliwa kinyume cha maumbile kukua, inafanya idadi ya wanaogeuzwa na wanaume wenzao kuongezeka. Hilo linafanya wengi wa wanaoingiliwa kujifanya wanawake hasa kwa kuji visha na kujipamba na mavazi ya kike.
  3. Wanawake we have it all... Mwenyezi Mungu katujalia nguvu ya ajabu na pia katupendelea kwa kutupatia wajibu wa kubeba viumbe (kike kwa kiume) kwa miezi 9 tumboni na kisha kuzaa... Hio ni moja ya sababu; tamaa ya kufikiria kuwa apitie na kuona namna gani inakuwa ukiwa mwanamke.
  4. Diversity... Kuna vitu wanawake tunaweza kufanya ambavo wanaume hawawezi.... Whereas kwa wanawake kwa kiasi kikubwa tunaweza kufanya yale ambayo wanaume wanafanya....

Kwa mtazamo wangu hizo ni baadhi ya sababu.
 
gfsonwin mwanaume ni mwanaume tu, na shoga ni shoga tu :bounce:
 
yani fazaa ma bro unanipa raha jinsi ambavyo huta hata kuwa kundi moja na mashoga. ila usisahau kwamba akiulizwa jinsia anasema male wala hasemi shoga manake ile ni kazi tu.
 
Last edited by a moderator:
Wanaume ndio wataongoza kukataa jinsia yao kwa sababu zifuatazo.

  1. Mila na desturi zimeweka mazingira ya mwanaume ni lazima ajitume na awajibike ipasavo katika jamii na ndani ya familia yake. Hili kwa wanaume wavivu na lege lege ni mtihani kwa kweli, nahisi wengi wao hutamani bora wangezaliwa wanawake; Hivo nam support Kaunga hapo juu.
  2. Tokana na maadili kubadilika na kitendo cha kuingiliwa kinyume cha maumbile kukua, inafanya idadi ya wanaogeuzwa na wanaume wenzao kuongezeka. Hilo linafanya wengi wa wanaoingiliwa kujifanya wanawake hasa kwa kuji visha na kujipamba na mavazi ya kike.
  3. Wanawake we have it all... Mwenyezi Mungu katujalia nguvu ya ajabu na pia katupendelea kwa kutupatia wajibu wa kubeba viumbe (kike kwa kiume) kwa miezi 9 tumboni na kisha kuzaa... Hio ni moja ya sababu; tamaa ya kufikiria kuwa apitie na kuona namna gani inakuwa ukiwa mwanamke.
  4. Diversity... Kuna vitu wanawake tunaweza kufanya ambavo wanaume hawawezi.... Whereas kwa wanawake kwa kiasi kikubwa tunaweza kufanya yale ambayo wanaume wanafanya....

Kwa mtazamo wangu hizo ni baadhi ya sababu.
@ Point 3 ndo mana lazima tuwaheshimu mama zetu na wake zetu :poa
 
am a woman and am proud to be a woman, kwanza hata cku moja sijatamani kuwa m-mme cos w-mme wanatumia nguvu nying katika utafutaji. . . unaweza kuta m-me na m-mke wapo kitengo k1 katika uzalishaji na wanapata faida inayolingana but m-me atatumia nguvu nyingi kuzalisha/kufanya biashara flan ili kuvutia wateja weng. kwa hili wanawake tumepewa favor. wanawake tunahimili vitu ving kuliko w-me.let say wote ni bankers bt mkirud hm m/mke atapika,ataosha vyombo,ataandaa nguo n.k.mpe m-mme afanye km ataweza!
 
Haita tokea hata siku moja mwanaume atamani kuwa mwanamke, hao mashoga si tunawaweka kwenye kundi lenu...we huoni hata tabia zao ziko kama zenu :bounce:

Tena nilisahau, mnapendezaga mkisuka nywele!
 
Back
Top Bottom