Kati ya JF memberz hawa,Je ulipenda ukutane na yupi (Live) ili umfahamu?

Natamani sana kukutana na FaizaFoxy, AshaDii na Husninyo. Napenda nikutane nao kwa wakati na mahala tofautitofauti . Nimeamua kuwachagua huo wa jinsia kinzani na yangu kwasababu binafsi.

Ukitaka kukutana FF soma post #29 na #34
 
Hao wote natamani kuonana nao lakini kuna mmoja ameishawahi kunikera akaniomba msamaha nika kamsamehe...

Nawapenda wote wanachangamsha JF hata wale wasiokuwa members huwa wanafuatilia michango yao kwa karibu sana
 
Mie ningelipenda kumfahamu Game Theory na Field Marshall pamoja na Invisible hawa watu nawakubali tangu enzi zile za Jambo Forum. Wakija humu jamvini ni kama nguvu ya umeme kwa data na information za uhakika mpaka mtu unabakia mdomo wazi.
 
Hao wote natamani kuonana nao lakini kuna mmoja ameishawahi kunikera akaniomba msamaha nika kamsamehe...

Nawapenda wote wanachangamsha JF hata wale wasiokuwa members huwa wanafuatilia michango yao kwa karibu sana
Nakubaliana na wewe mkuu.....hao waheshimiwa wanajua kutibua na kuidhoofisha mada husika....na pia wanajua kuisimamia mada fulani
hata kama kilichoandikwa si chakweli,lakini wao watasema hii ni kweli! yaani penye No wao watasema Yes na penye Yes wao watasema No!
Yaani all in all hao jamaa wanajua kuchangamsha majukwaa ya JF
 
niliyekuwa napenda kukutana naye sasa hivi alishakufa hapa jf umebaki mzimu wake.jina lake linaanzia HU...O.mia
 
Back
Top Bottom