Kati ya hizi Masters za Education, ni ipi unamshauri asome?

tztz

JF-Expert Member
Jun 30, 2021
234
180
Kuna mtu anataka kusoma masters ya Education
Kati ya hii ipi unamshauri

Lengo kuongeza maarifa

1. Masters of education in administration and policy planning.

2. Masters of education in Quality management

Au

Bachelor degree of science in ICT

Lengo kubadiri Muundo wa kazi. Kutoka kwenye ualimu kwenda kada nyingine

Karibuni wajuzi tushauriane
 
Back
Top Bottom