Kati ya ELECTRONIC&COMMUNICATION ENGINEERING NA IT IPI NI NZURI?

dottoz

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
1,510
868
Wadau naomben mnixaidie kwa hli
kati ya hz koz ip ni bora na yenye practical ya ukwel na yenye soko kubwa xana
shukuran.
 
let me help you.......ni hivi
1.electronics and communication engineering----hivi kozi inahusiana na mawasiliano simu ambazo kazi zake huwa watu wanajaariwa kwenye mitandao na isp company basi........
2.it au information technology ni pana sana na ajira zake ni kwamba ....zipo kila sehemu kwani ofisi zote za serikalini,watu binafsi lazima kuwe kuna it technician
3.kwenye mambo ya mitandao kuanzia mabenki it ndo huwa wanashuhulikia mitandao ,,,na it imegawanyika sehemu kuu kumi sasa inategemea ww utaspecilize kwenye nini....na hizi ndo specilization zake

1.hardware engineering
2.software developer
3.programmer
4.web designer
5.graphics and designer
6.database administrator
7.networking engineering
8.mobile technology
9.software engineering
10.microwave enginee

sasa ww utachagua unapenda uspecilize kwenye nini
 
Thanx sana mkuu,ujue nini kaka mie napenda sana ELECTRONICS&COMMUNICATION ENGINEERING
sasa sasa katka kaz zake nyng ni zp katka mitandao?
 
Natumai umepata maelezo ya kutosha kutoka kwa kaka hapo, ila yote ya yote angalia ni wapi ukimaliza yupo mtu wa kukuvuta mkono.
 
Back
Top Bottom