Kati ya CCM na CDM chama cha upizani ni kipi!?

Murrah

Senior Member
May 28, 2011
189
42
Wana JF nashindwa kuelewa kati CCM na CHADEMA chama cha upizani ni kipi?

Kwa elewa wangu Chama tawala lazima kiwe na sera na mipango kazi jinsi ya kuitekeleza.

Kwa sasa Sera zinatoka CHADEMA na CCM wana react hakuna mipango, nani kapewa jukumU la kuendesha hii nchi?
 
Kihalisia CDM ndiyo wapinzani! Lakini kwa kwa vitendo chadema inaongoza indirect na ccm wanatekeleza yanayoagizwa na chadema.
 
Ni chochote. Vyote ni upinzani. Chama tawala sikioni. Maana sifa za chama tawala ni kutekeleza ahadi zake kwa kutenda na siyo kuimba zingine majukwaani.
 
Mengi yamefanyika na CCM hayapo ktk ilani yao kwa mfano ujenzi wa chuo kikuu dodoma, hoja ya mgombea binafsi, matokeo ya urais kuhojiwa mahakamani, katiba mpya....nk

Lakini wapo watakaosema sio kweli mbona CC ilijadili au ilipendekeza, bila kujua wakibanwa na hoja nzito wanakimbilia kwenye vikao kusema waonekane wameanzisha wao huu ni ukweli ikn kisiasa inabidi ubishe hadi kufa.

Hoja ya mgombea binafsi maamuzi ya Jdg Augustino Ramadhan wanasheria wengi wamepinga ile hukumu matokeo yake kuficha aibu wanatoa pendekezo ktk CC ionekane bila wao jambo halipiti waache mambo ya party suprimacy kwa sasa hayapo baada ya kuridhia vyama vingi.
 
The line is very clear........ their always come from behind.Wamekuwa wazee wa kujibu tu uwezo wa kuanzisha kwishney.
 
CCM wapo wapo tu hawajielewi wapo ktk mfumo upi, wakichaelenjiwa wanajifanya wao ndiyo waanzisha hoja mfano katiba mpya. Ila 2015 wategemee maumivu kwani itakuwa na wabunge chini ya 50
 
UKO TZ IPI WEWE, CCM kimeshakuwa Chama cha upinzani muda mrefu tu.. CDM ndiyo Chama kinachoongoza..
Ndio tatizo nchi inaenda ovyo kwa sababu tun vyema viwili vya upizani kwa ushauri tu kwa kuwa Nape and team ni upizani wakubali kukabidhi nchi kwa chama tawala ile wawe accountable kuliko hii hali ya kutoa policy na implementors ni magamba
 
Back
Top Bottom