concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 1,413
- 1,763
Kuna watu wakeraiz kuclash kuhusu ndege za atcl kuwa si salaama kwa safari. Ya kuwa zina rate ya ajali sana tofauti na za jet engines has a Boeing.
Wengine wameenda mbali na kusema ya kuwa bombardier in kakampuni kadogo pasipokujua kuwa hii no kampun kubwa sana tena one of the leading railway manufacturers.
Katika kuperouse nimeamua kuchukua Boeing 737 ambayo ndo imeuzwa sana dunia toka ianze tengenezwa miaka ya 1980s na hii yetu.
Katika kuperouse nikagundua kuwa Boeing wameuza zaidi ya ndege 1000 ila pia wakawa na ajali na incident zaid 360 zaid ya ishirin no ajali.
Tukija kwa airbus 320 class wameuza ndege zaid ya 7000 ila wana incidents na ajali zaid ya tisin ambazo zilipelekea fatalities zaid ya 1000.
Haya tukija kwenye mapanga shaa yetu toka mwaka 1980s zilipoanza tengenezwa dash zimetengenezwa zaid ya 1000 kuna incidents plus ajali 8 tu ambazo vifo vyake havizidi watu 200. Na kati ya hizo ni ajali ya tano tu ndo ziliua. Pia nyingi ya ajali hizo sio mechanical errors.
Kwa kuconclude due to the above facts mapanga shaa ni salama kuliko jetlii.
Pia ni wazi yakuwa wengi wanaoponda ni wale Wa hisan ya Fastjet, hawajahi onja hata Precision.
Kwa uzoefu niliouona kwa haraka kati ya jet engine has a ndege ndogo kama embrare 175 haziko comfortable muda wrote unahisi kama uko kwenye mbazi travellers wakat ukiwa ndani ya mapanga shaa ya prec hakuna fujo sana pili at least unakuwa kama uko kwenye marcopolo paradiso 1800 dd, full luxury no mtikisiko.
Tusikariri, jet engine eti ndo salama pia comfortable. Jet engine utazipenda kwenye midege mikubwa ambayo ni mizito hainepinepi.