Kasuku astukia dili Zanzibar

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
Mkenya mmoja alitoka Mombasa kwenda Zanzibar kutalii akiwa na Kasuku wake. Baada ya kushuka kwenye boti na kumaliza shughuli zote za kugonga passport, aliamua kwenda kununua ndizi za kuiva ili ajivinjari akiwa kwenye taxi kuelekea hotelini.

Alipofika kwa muuzaji wa ndizi, kabla hata ya kumuuliza yule muuzaji akawahi kumuuliza yule mkenya "wataka dole ngapi yaheeh?" (zanzibar ndizi zinajulikana kama dole). Basi Kasuku kusikia vile akamuuliza yule mkenya "Inamana bado tupo mombasa?" akiamini yule muuza ndizi ni 'Basha'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom