Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

Status
Not open for further replies.
ndio maan mpka sasa mkuu hajasema kitu kwa kisingizio yuko nje ya nchi....lakini anauujua ukweli mzima kuwa na yeye anahusika.....

Mawaziri wanajua mchezo mzima......
nafikiri uko sahihi wateule wake yawezekana huwa wanapeleka kwake return kama sehemu ya mgao
 
Jamani naomba mnisaidie nimeshindwa kuelewa.
Hivi katibu mkuu mmoja kama anaweza kucheza na hivi vijisenti BILIONI MOJA kama wanavyodai wao...je tuna makatibu wangapi?...
Hii inatisha sana watu tunalia njaa na ajira kumbe kuna watu wanaweza kucheza na hela za walala hoi.......MUNGU AWALAANI NA MATUMBO YENU MANENE
 
simple math 1bn divide by ccm wabunges 250+ how much is one sure of bagging? Each one is assured of 3.5mil for just saying YES. Huku watanzania tunateseka bila umeme na gharama zinazidi kupanda.
 
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeanza uchunguzi wake juu ya madai ya Wizara ya Nishati na Madini kuzichangisha taasisi zilizo chini yake fedha kwa ajili ya kufanikisha bajeti hiyo.Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk Edward Hoseah amesema kwamba tuhuma hizo ni nzito na tayari taasisi hiyo imeanza kuzichunguza. Amesema taasisi yake inafanya uchunguzi kwa umakini na kwamba kila anayetuhumiwa atapewa nafasi ya kujitetea na kusisitiza kwamba ofisi yake inalichukulia suala la nishati ya nchi kwa uzito mkubwa."Tumeshaanza uchunguzi... jambo zito kama lile hadi Bunge linaahirishwa unafikiri tunaweza kuliacha hivihivi? Suala la nishati tunalichukulia ‘very serious'. Tutafanya uchunguzi wetu na tutaona matokeo baada ya kukamilika," alisema.

Wakati huohuo PM, Mizengo Pinda ana siri nzito kuhusu hatima ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini David Jairo baada ya kukaririwa akisema kuwa Rais Jakaya Kikwete amempa maelekezo mapya kuhusu suala hilo ingawa haijulikani ni maelekezo yapi kapewa.
 
sina imani sana na huo "uchunguzi" uloanzishwa na TAKUKURU. what if along the way wanazuiliwa kuendelea na hatua zaidi kama alivokaririwa Dr Hosea mwenyewe kuhusu ufisadi "papa" kwamba anakwamishwa/zuiwa kuchukua hatua?
 
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeanza uchunguzi wake juu ya madai ya Wizara ya Nishati na Madini kuzichangisha taasisi zilizo chini yake fedha kwa ajili ya kufanikisha bajeti hiyo.Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk Edward Hoseah amesema kwamba tuhuma hizo ni nzito na tayari taasisi hiyo imeanza kuzichunguza. Amesema taasisi yake inafanya uchunguzi kwa umakini na kwamba kila anayetuhumiwa atapewa nafasi ya kujitetea na kusisitiza kwamba ofisi yake inalichukulia suala la nishati ya nchi kwa uzito mkubwa."Tumeshaanza uchunguzi... jambo zito kama lile hadi Bunge linaahirishwa unafikiri tunaweza kuliacha hivihivi? Suala la nishati tunalichukulia ‘very serious'. Tutafanya uchunguzi wetu na tutaona matokeo baada ya kukamilika," alisema.Wakati huohuo PM, Mizengo Pinda ana siri nzito kuhusu hatima ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini David Jairo baada ya kukaririwa akisema kuwa Rais Jakaya Kikwete amempa maelekezo mapya kuhusu suala hilo ingawa haijulikani ni maelekezo yapi kapewa.
thnx 4 newz, hao takukuru labda na wao wanahitaji kujivua magamba maana ndo imekuwa style nw dayz. Tayar kwa kuona na kusikia ni waz kunaushahid juu ya barua za kuomba 50mil kwa taasis za wizara ili kulainisha wabunge. Bt pengne hao takukuru wanaweza kuja na hoja kuwa 'hakuna ushahid wa moja kwa moja juu ya 2huma hzo'.! Hosea mwenyewe aliwah ku2humiwa kwenye kashfa ya richmond, nashangaa up 2 nw, still he's MD of that takukuru. Let us wait, tym wil tell us
 
Hivi kweli hili swala lilikuwa linahitaji muda wote hawa kuwa bado wanafuja mali ya walala hoi? hawa walitakiwa wawe ndani toka jana.
 
Endapo jairo hatajiuzulu, people must act. Watz tutaonekana wa ajabu sana kama jairo, ngeleja na malima hawatajiuzulu.
 
Hapo akuna kitu chochote hila ni njia ya kuwasafisha na mbunge aliye toa hoja atoswe.
Je mbona sipika hakuomba ushaidi toka kwa mbunge yule kama mamasipka alivyozoeleka.?
 
hawata ji uzulu mpaka wamalize kipindi chao 2015 kwa mujibu wa magamba .hawajui wakati bado wapo 19kweusi.:pound:
 
hope watafanya nchi haka maana hawa nao hawajatulia kwa kuchakachua tu. walimsaficha chenge na wizi wa wazi
 
Hivi kweli pamoja na ukweli kwamba Jairo ni mmoja wa makatibu wenye nguvu sana serikalini.. ile barua ameandika yeye peke yake bila mkono wa Mh. Ngeleja na mwenzie Malima...


kama ndiyo basi kifungu ni cha muhimu sana...
 

Attachments

  • Jairo.JPG
    Jairo.JPG
    56 KB · Views: 30
Kwanini TAKUKURU haikutaka wenye ushahidi waipelekee na imeamua kuanzisha uchunguzi?
Mkuu, hapa imetumika sentensi hii, "swala la nishati ni very serious" Maswala mengine kama radar sio serious, ni vijisenti tu, tubilioni kadhaa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom