Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

Status
Not open for further replies.
TAKUKURU wamemeza valium bado wamelala wewe

Mimi ukinitajia TAKUKURU huwa ninaumia nafsi yangu sana, na baki kujiuliza kwanini hiki kitengo kilianzishwa? wamebeba dhamana kubwa lakini hakuna wanachokifanya kwa visingizio. mimi naumia sana kuhusu hii kitu inaitwa takokuu
 
What I'm afraid of is, "What if this is just a tip of an ICEBERG?", na kwamba GAME hii inachezwa na wizara zote?
 
TAKUKURU wamemeza valium bado wamelala wewe
takukuru mambo kama haya hawayawezi-maana yanakuja ku-involve watu wengi na wenye madaraka-ukitaka kuona makali ya takukuru subiri kesi ndogo ndogo kama za wenyeviti wa vijiji kudaiwa kupokea rushwa-hapo ndo utaona kazi ya takukuru
 
Jamani takukuru hawana chochote kazi kujisifia tu kwenye vyombo vya habari
 
What I'm afraid of is, "What if this is just a tip of an ICEBERG?", na kwamba GAME hii inachezwa na wizara zote?
Then wizara zote ziwe held responsible. Kwani kuna gharama gani kuvunja baraza lote la mawaziri na kuteua wengine? Tuna watanzania zaidi ya milioni 40, haiwezekani kwamba kati ya hawa wote hakuna mawaziri au makatibu wa wizara.
 
St. Thomas Aquinas UniversityAdvanced Diploma in Rural Development19801981ADV DIPLOMA
TransWorld Tutorial College, LondonCertificate in Management19851985CERTIFICATE
Kwermusl Primary School(Mbulu)Primary Education19581960PRIMARY
Daudi Primary SchoolPrimary Education19611961PRIMARY
Karatu Primary SchoolPrimary Education19621965PRIMARY
Dung'unyi Seminary SchoolO-Level Education19661969SECONDARY
Itaga Seminary SchoolA-Level Education19701971HIGH SCHOOL
Kibosho Seminary SchoolCertificate in Philosophy19721973CERTIFICATE
St. Urban University, RomePhD (JCD) Law19771981PHD
Kipalapala SeminaryCertificate in Theology19741977CERTIFICATE
International Eye H. CentreCertificate in Eye Health19931993CERTIFICAT
 
Kizaaa zaaa hicho, na bado... Mpaka kieleweke! Hayo mambo yao machafu yako kila idara za serikali huo ni mfano mdogo tuuuu
 
na ndiyo maana hana wasiwasi, kama aliagizwa kufanya hivyo sasa kosa lake lipo wapi? mtajua mengi sana mwaka huu, huu uji-koboaji magamba yanakuja na mengi. msije mkasikia hata waliokwisha kufa wapo hai.
 
St. Thomas Aquinas University
Advanced Diploma in Rural Development
1980
1981
ADV DIPLOMA
TransWorld Tutorial College, London
Certificate in Management
1985
1985
CERTIFICATE
Kwermusl Primary School(Mbulu)
Primary Education
1958
1960
PRIMARY
Daudi Primary School
Primary Education
1961
1961
PRIMARY
Karatu Primary School
Primary Education
1962
1965
PRIMARY
Dung'unyi Seminary School
O-Level Education
1966
1969
SECONDARY
Itaga Seminary School
A-Level Education
1970
1971
HIGH SCHOOL
Kibosho Seminary School
Certificate in Philosophy
1972
1973
CERTIFICATE
St. Urban University, Rome
PhD (JCD) Law
1977
1981
PHD
Kipalapala Seminary
Certificate in Theology
1974
1977
CERTIFICATE

International Eye H. Centre
Certificate in Eye Health
1993
1993
CERTIFICAT

Hujaeleweka mkuu...
 
Dah Tanzania yangu jamani.... Yaani rushwa kweupeeeeeee, na washkaji bado wanapeta... Hivi huyu Raisi wetu hapewi data kuhusu haya?? Wakowapi wazee wa TISS, PCCB?? tumekwisha, yaani tumekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...
 
na ndiyo maana hana wasiwasi, kama aliagizwa kufanya hivyo sasa kosa lake lipo wapi? mtajua mengi sana mwaka huu, huu uji-koboaji magamba yanakuja na mengi. msije mkasikia hata waliokwisha kufa wapo hai.

Aliagizwa na nani? Waziri siyo "Accounting Officer" hana pa kutokea labda athibitishe malipo ya hizo hela yasiyohusiana na kuwalipa wabunge
 
kweli tutasikia mengi kwa hili ni dogo sana wana jf. Muda si muda mtasikia wale tuliodhani wamekufa wako hai tena wako visiwa vya........ Jamani jk unatutenda namna hii kwani watanzania wamewakosea nini nyie mpaka muwafikishe hapa? Tanzania ni nchi yangu naipenda ila hawa viongozi wetu hawa eti wanajifanya awajui chochote kuhusu mambo yaliyofanyika katika wizara ya nishati mbuzi wakafara jairooooooooooooooooo
 
katika barua yake kasema ni maagizo ya mkuu wa kaya, nijuavyo mimi haitachukua muda kumruka. Pole sana Jairo.
Watanzania, nawaambia haiwezekani Jairo akathubutu kufanya "dill" kubwa kama hiyo peke yake. Most likely, top management ya wizara ilikaa kupisha hiyo na kumpa baraka kwani walijua kuwa issue ya umeme itakuwa moto bungeni. Akiwajibishwa Jairo peke yake, basi Bwana Kiwete na Pinda, historia itakuhukumu.Fikiria chukua uamuzi makini!!!!
 
Hivi hao watu waliohusika kwenye hiyo skendo bado ni waajiriwa wa serikali mpaka saa hii? nashangaa!!!!
 
Ikiundwa tume huru ya bunge unaweza kukuta ulaji/rushwa ikihusisha mtandao mpana kuliko Jairo

TAKUKURU hawana uwezo wa kuchunguza kashfa kama hizi,wao mpaka waelekezwe cha kufanya na bosi wao


Rejea malalamiko ya Hosea kwamba bosi wake hataki rushwa kubwa kubwa zichunguzwe

Wapi Kagoda,wapi deep green,wapi tangoald?wapi rada?
 
Kwa ccm Jairo ataweza kukubali kuwa kondoo wa sadaka, kama ilivyokuwa kwa kina Karamagi,Msabaha na Liyumba; PESA zilizopotea ni nyingi, na inaonyesha kuna mikono mingi lakini kafunwa liyumba peke yake.
KWA MASLAHI YA TAIFA LETU HILI LINATAKIWA KUWA LA WATZ WOTE KAMA JAIRO ATAWAJIBISHWA BASI NA TIMU HUSIKA YA WIZARANI PAMOJA NA WALIOPOKEA PESA HIZO WOTE WAINGIE KWENYE MKUMBO HUO NA SI JAIRO PEKE YAKE.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom