tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,405
imefika JF aim sure watarekebisha...
Warudie upya..wana haraka gani
imefika JF aim sure watarekebisha...
Warudie upya..wana haraka gani
1st july .. yaani jumatatu mchakato wa kuandikisha interns wapya unaanza .. mambo ni mengi watajirekebisha
mie mwenyewe kuna mtu namjua yuko pale sehemu eti ni daktari
wakati alisoma degree ya Sociologia sasa sijui kama siku hizi
mwana Sociology anaweza kuwa daktari
Hao watakuwa ni Waunguja na Pemba maana huko huitwa waganga wa Miti Shamba na Qur'an tukufu aka kutibu kwa albadili..Hamtaki mnaacha
Sizinga yaani ni zaidi ya janja janja!!!!!Hiyo inaitwa janja janja. Lol
Mhh jamani mi napinga hii. kuna profesheni za ku forge lakini sio udaktari.mie mwenyewe kuna mtu namjua yuko pale sehemu eti ni daktari
wakati alisoma degree ya Sociologia sasa sijui kama siku hizi
mwana Sociology anaweza kuwa daktari
Mmewasiliana na Medical Council of Zanzibar & Pemba?......mjue Waziri nae ni wa hukohuko!
yani madudu matupu..jana limetoka tangazo kuwa wanaomba radhi..na wanafanya marekebisho kwa interns.sasa je na wale waliopangiwa halmshauri tatu....wakaripoti kote
kuna jamaa alishapangiwa kituo mwaka juzi,naona mwaka huu tena ametokea.
Haya ndio matunda ya perdiems za kukaa morogoro?
haswaaa..eti walienda morogoro kupanga post .huko ni kupoteza tu kodi zetu..kwan kupangia ofisini wangeshindwa nini..ona sasa wamepewa nafasi ya utulivu kufanya kazi huko moro matokeo yake wamevurunda....aibu kwa wizara..cha ajabu hakuna mtoto wa mkubwa ht mmoja aliyepangwa kijijini..ni wizarani na hospitali za wilaya tena za dar...ili siku mbili wakawe waganga wakuu...ipo siku tu..tena zimebaki chache