barabaraya18
Senior Member
- Sep 18, 2006
- 106
- 8
Jamani hivi hakuna wanazuoni walioyasoma haya mambo..kama taaluma wamwage vitu hapa? Barabaraya18 na mimi ananichanganya..anataka wengine waback up statement zao na aya za ushahidi wakati yeye hajatupa aya zinazosupport hoja zake za talaka moja tuu......mkuu tupe vitu...
INAELEKEA na wewe unakuwa kama MWANAKIJI, tena MKJJ anaafadhali kwani anaweza kukuletea link au post ambayo huko nyuma ulieza kitu
Its clear kuwa wewe husomi maelezo yangu kuhusu hizi hoja na hhujataka kujua kwa nini huu mjadala kwa nini umefikia hapa ulipofikia, nakuomba uanze kusoma post zangu tangu jana utaona nilitoa aya ya kusupport maelezo yangu
Kama una la zaidi sema lakini ukweli usiopingika kuwa WAGALA waliuteka huo msiba