Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Sasa tazama body language za watu wa pembeni!
Mwenye T-shirt nyeupe kulia !... Loooooh sitaki ushahidi miye - damn!
Mwenye dark Blue kushoto!.....Mnnnnh! - What?
 
jamani hiyo picha si muiweke wazi mbona zingine tulikua tunaziona,au ndo kufichana fichana.invicible tuanaomba picha hiyo tuione,maana maelekezo kibaaaaaao.lakini hatuioni
 
....invisible eeh! forum yetu imetulia kichizi....kazi safi sana...nadhani hii face lift ni kwa ajili ya vista!ila all in all imetulia mwanangu.....kwa mtindo huu...tutajaa barazani kila tupatapo nafasi![ukizingatia huku hatuwezi rogwa..ha ha ha!mamalao!]by the way...sikujua kwa kuiweka hii!

...tukirudi kwenye mada...huyo bwana kumkumbatia meddy,labda ni urafiki wao[ambao ni wa kwenye nini?]ila kuwepo hapo msibani ni kitendawili kwa wanaomshuku kuhusika na tamati ya maisha ya lady diana wa tz!

...hivi?mmemwona akisaini kitabu cha rambirambi?...nadhani hata hiyo picha nayo ikiwekwa hapa...italeta mjadala!

asaalam aleykhum!
 
Picha hii hapa

n11qi4.jpg
 
Kumbe kuna watu wasio na aibu eee! huyu Nchimbi nitishio! Rambirambi za Malecela zilikuwa ni kuelezea jinsi anavyofeel kifo cha Amina sawa na cha Ipanya.

Kwakweli hii picha INATISHA, hasa ukizingatia mtu katembea na mkeo then anamuua, haitoshi aje msibani akukumbatie!

Huyu jamaa ni MAFIA, nasikia amekwenda kumwibia Mpakanjia simu kule Iringa, kwa kufuta ushahidi wa meseji ambazo alikuwa anachati na mkwewe pia alizotumiwa kumfariji mfiwa, mkwewe angali hai!

Hayo ndo maisha yake ya undavuundava hadi mauti yake yatakapotukia.
 
Lazima pia ukumbuke kuwa ile ilikuwa talaka moja, na ina maana yake. Yaani kwamba kuna kila uwezekano wa kurudiana tukimaliza tofauti zetu ama ukijirekebisha ama kwasababu moja au nyingine mume akibadilisha uamuzi wake. Kwa mfano, mwanamke wa Ki-Islam akipewa talaka moja haruhusiwi kuolewa ama kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu mwingine. Hiyo inaitwa kwa maneno ya mtaani, talaka rejea. Ukipewa tatu, ndio biashara imekwisha kabisa na hata mume akitaka kuwa na wewe tena haruhusiwi mpaka mwanamke awe ameolewa na kuachwa na mwanamme mwingine. Kwahiyo, hata kama ile talaka moja bado ilikuwa inasimama, bado mwanamme anatambuliwa kuwa mume wa marehemu!
 
Huyu bwana ana ties kubwa sana na UWT............. so mambo mengine unaweza kujaza mwenyewe
 
Maelezo yako yanatofautiana sana na yale yaliyotolewa huko nyuma na Barabaraya18 kuhusu talaka katika uislamu. Amesema kuwa uislamu hautambui talaka moja talaka mbili n.k.: talaka ni moja tu. Kwa hiyo Amina amefariki akiwa hana mume. Soma post yake hapa
 
mr clean
Kwakweli hii picha INATISHA, hasa ukizingatia mtu katembea na mkeo then anamuua, haitoshi aje msibani akukumbatie!

Huyu jamaa ni MAFIA, nasikia amekwenda kumwibia Mpakanjia simu kule Iringa, kwa kufuta ushahidi wa meseji ambazo alikuwa anachati na mkwewe pia alizotumiwa kumfariji mfiwa, mkwewe angali hai!

Hey! yamekuwa haya!
 
Huyu bwana ana ties kubwa sana na UWT............. so mambo mengine unaweza kujaza mwenyewe

UWT ipi? Umoja wa Wanawake Tanzania au Umoja wa Wanasiasa Tanzania, unaweza kufafanua zaidi ili kutulahisishia kujaza uliyoacha?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom