Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
kwani yuko! Ss hiv mwenzio anapasua mawingu anganiiii****** anasubili kutoa salamu za pole kwa watakao kufa na kuumia kwenye hili sakata! Mpaka sasa hv yupo kimya'
kwani yuko! Ss hiv mwenzio anapasua mawingu anganiiii****** anasubili kutoa salamu za pole kwa watakao kufa na kuumia kwenye hili sakata! Mpaka sasa hv yupo kimya'
ala! Km ni kweli basi tutegemee hali mbaya zaidWewe umelala nini Lowasa ni mmiliki wa makampuni kadhaa ya mafuta, kalagabaho hao ndio wanaotutesa nchi hii!!!!!!!!
Udumu ufisadiiiiiiiiiikidumu chama cha mapunduzwiiiiiiiiii?.........
udumu mgao wa umemeeeeeeee?.........
udumu mgao wa mafutaaaaaa?..........
Tafadhali wadau na mimi natoka saa kumi na moja ofisini na sina mafuta kabisa je yanapatikana wapi?
jameni msimuharibie ****** ratiba yake ya kufuturisha watu.....msubirini kidogo tu amalizie futari alizowaandalia rafiki zake atakuja kulimaliza hili tatizo...
Kobel Msasani, africana buguruni
GBP sinza, kulasini, mbezi dawasco
Bigborn SInza, kkoo, na mbagala
But jiandae kukaa masaa 6 unasuburi wese
Kwa kuwa uko peponi kwako haiwezekani,Inawezekana kweli?
jamani tusivunje hii amani yetu tuliyopewa na Mungu
Tatizo la mafuta:
Hatimaye Tabata maeneo ya Mwananchi, wananchi waziba barabara wakishinikiza sheli iuze mafuta, nakufanikiwa kuweza kupima mafuta na kukuta Diesel ipo ila Petrol imekwisha wakisimamiwa na Askari wa FFU, askari mmoja aliyejitia kimbelembele wa kutuliza ghasia kapigwa jiwe.
Wameahidi wakitoka hapo wanaelekea Ubungo Terminal.
Source: Clouds FM
Nadhani hapo penye **** ulitaka kuandika MK.were bwahahaha, hata mimi natamani nitoe hiyo nukta kati ya k na w lakini nashindwaHivi wewe hujui kuandika jila la ****** kuwa ni tusi? Ebo!!
jamani tusivunje hii amani yetu tuliyopewa na Mungu
Jamani nani kanionea au kumsikia Nape Nnauye alipo?
Amani upendo na utulivu ni ngao yetu,msishawishike na hivyo vyama vya fujo vitawaghalimu sana.mashehe na wachungaji ipiganieni amani.
Hivi hakuna watu wenye vibiriti huko mtaani?chomeni sheli moja then wengine watajifunza.ngoja nije nawape wazo mbadala nikiwa na kibiriti changu.