Kashata za kungu suluhisho la 'ashki' kwa kinadada

mkeo anapokuambia hajisikii kufanya eti amechoka ujue anachepuka. Ujue tu kachoshwa na hogo la mtu mwingine. Haiwezekani kila siku mtu hajisikii kufwanya tendo.
 
mkeo anapokuambia hajisikii kufanya eti amechoka ujue anachepuka. Ujue tu kachoshwa na hogo la mtu mwingine. Haiwezekani kila siku mtu hajisikii kufwanya tendo.
Na wenyewe mara nyingine huchoshwa na vibamia,huwa wanatafuta madodoki.
 
Kama kabla ya Kashata hawafikishwi kileleni wakizila si ndo watasemwa wameachwa kwenye 'Korongo'.

Mie nitakuwa Kama Ambulance kusubiri waliozidiwa na Kashata za Kungu kwa ajili ya First Aid
mkuu uko vizuri, kama ambulance na kutoa huduma ya kwanza!
 
Ha ha haa itabidi basi na mwanaume akatafute angalau supu ya pweza ili mfike wote, hofu yngu mmoja acje akamuacha mwenzie njia panda
 
M'ume ukijua majamboz vizuri kwa taarfa yako kauli za nmechoka cjui naumwa tumbo Mara nin hutozisikia. Ila km wewe unajua kuparamia tu km mbuzi, utundu huna, shughuli dk 2 umemaliza hujui ht mwenzio km kafika au la! Hizo kauli utazisikia sn. W'wke huwa tunaboreka mapema na w' ume wa type hizo mtu unajionea heri ulale tu maana hamna utachofurahia zaidi ya kuchafuliwa tu..! Hivyo ukiona excuse zinazidi badili na boresha mikakati yako.! Huna hata haja ya hizo kashata
 
Yaani inakuwaje naomba unielekeze ili nijue Wifi yako akiishiwa ashki ni mboost vipi
Wanawake kushiwa nguvu wengi ni kutokana na sababu ndogondogo kama mawazo, saiklojia aliyonayo dhidi ya mwanaume, au kama hakupendi amepoteza hisia na wewe, kuna sababu zingine mbali pia kulingana na mwanamke mwenyewe
 
Asante sasa wewe ukiishiwa nguvu unakuwaje yaani ?huyu simuelewi hata kama hana hamu na mimi nikimgusa tu kidogo tayari keshalowa
Unajuaje kaishiwa nguvu
 
Mmmh! Haya wenye uhitaji wa tiba... Mi nikijalibu kula ntakua chizi!!! Hapa nilipo tu zinanishinda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom