mamaaaaa.............!R.I.P Kasaloo Kyanga Mzee wa masafa marefu
Ninakwendaa safari, safari yenyewe safari ya kikazi,
Ninajuaa mama utabakiii, watasema mengi,
Pia wabaya wetu mamaa watafurahii x 2
Ninakwendaa safari, safari yenyewe safari ya kikazi,
Ninajuaa mama utabakiii, watasema mengi,
Pia wabaya wetu mamaa watafurahii x 2
Ninakwendaa safari, safari yenyewe ya masafa marefu,
Ninajuaa mama utabakiii, watasema mengi,
Pia wabaya wetu mamaa watafurahii x 2
Ninakwendaa safari, safari yenyewe ya masafa marefu,
Ninajuaa mama utabakiii, watasema mengi,
Pia wabaya wetu mamaa watafurahii x 2
Lakini usisikie yaoo mama watoto oo,……………..,
Nakwenda kutafuta maisha ya watoto wetu…………….,
Chunga watoto wetu mamaa nitarudi, tutaonana kwa mapenzi ya Mungu,
Chunga watoto wetu mamaa nitarudi, tutaonana kwa mapenzi ya Mungu,
Safari sio kifoo o mama iyeye,
Subiri nitarudii o mama watoto,
Safari sio kifoo o mama iyeye,
Subiri nitarudii o mama watoto,
Nikirudi mamaa nitakuletea zawadi,
Nikirudi mama nipokee kwa mikono miwili
Iyeye, oo mama iyee,
Nikirudi mamaa nitakuletea zawadi,
Zawadii nono, mama watooto.
(a keba, keba, keba, keba, keba, keba, keba, kebaaa,)
(fimbo, fimbo, fimbo, fimbo, lugoda,lugoda, lugoda, lugoda - Mangalaa..
Hivi Kyanga Songa yupo hai?
RIP Kasaloo...
Heshima kwako Lukindo.
Mkuu nakubaliana na hoja yako.Siku hizi magonjwa ni mengi sana unaweza kumdhania mtu tayari kaukwaa UKIMWI kumbe ana kisukari ndiyo maana nilijaribu kuweka angalizo labda ni umri.
<br /><font size="3"><span style="font-family: lucida console"><b>Heshima kwako Lukindo.<br />
<br />
Mkuu nakubaliana na hoja yako.Siku hizi magonjwa ni mengi sana unaweza kumdhania mtu tayari kaukwaa UKIMWI kumbe ana kisukari ndiyo maana nilijaribu kuweka angalizo labda ni umri.</b></span></font>
Wazee hivi wapi naweza pata nyimbo za orchestra Tomatoma. Nilikuwa napenda sana nyimbo za hii bendi wakati nikiwa shuleni, Kama kuna mtu anajua wapi naweza pata hizi nyimbo naomba anifahamishe.