Karume amekacha sherehe za Muungano?

huwa napata tabu sana na hawa wazanzibari mkuu...wanafanya ionekane kama tunawahitaji sana!na uwezo wa uchangiaji wa huyo jamaa hapa ndio unaharibu zaidi siku yangu..ovyo sana!
sasa kama hamuwahitaji kwanini mnawa'nga'ngania? how many times wakwambieni kuwa mmewabebesha "zigo" halibebeki, mkaliita "muungano", wanatamani sultani arudi maana huyu wasasa(ccm) wamemchoka na mnamuweka nyie.
 
heshima mbele mkuu..
ni vile sina uwezo wa moja kwa moja wa kufanya hayo maamuzi...ningekuwa na hayo mamlaka ndugu,wakati huu tunaongea hapa muungano ungeshakuwa historia..na najua sipo mwenyewe,wakipitisha kura ya maoni bara mathalani sasa hivi,utashangazwa na idadi ya wasioutaka...sioni kwanini wanajadili kero za muungano ilhali muungano wenyewe ni kero...
 
Back
Top Bottom