Karne ya 21 yawaacha wanawake wengi solemba...

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
secretary-and-boss-008.jpg

In the 1950s, more women aspired to marry their bosses. Photograph: Lambert/Getty Images


Karrne ya 20 na kabla ya hapo njozi ya wanawake wengi ilikuwa kuolewa na mwanaumme mwenye kipato kikubwa zaidi yao. Binti alikuwa akisomea ukatibu muhtasi akitarajia bosi wake atamwoa............lakini sasa mabadiliko ya kiuchumi ambayo yamewaacha wanaumme wengi wakijutia ukiwa wa kimapato sasa akina dada wengi itabidi wajibanze na wanaumme wenye kipato sawa na chao au hata chini ya kile wanachokichuma kwa sababu wanaumme wenye uwezo wanazidi kupungua huku idadi ya wakina dada wenye kivuno kizuri wanazidi kuongezeka..................

Kwa hiyo MR. RIGHT sasa aweza kuwa karani wa bosi wa kike na hili msipige baragumu la kulalama....................kubalini yaishe kwa kukubali mafanikio ya kumkomboa mwanamke......ni pamoja na kuoa badala ya kuolewa kwa sababu ya kauli mbiu nanyi mnaweza ingawaje hiyo kauli mbiyu haibainishi ya kuwa mnaweza kutuoa pia....lol

soMA hizi khabari kwa ufafanuzi zaidi:-

Shift in marriage patterns 'has effect on inequality'

[h=1]More women work as pay gap narrows slightly[/h]
 
True that

usimwogope na kipato chake......................mvae tu atajibu mapigo maana wale wanaomzidi sasa ni adimu hawapatikani..........kila ndege kwa bawa lake.......
 

na akina dada wasichelewe kuolewa wakifiri ya kuwa wenye kipato zaidi yao wako njiani kuwafukuzia.......ukweli ni kuwa wengi wao tayari wamekwisha dakwa..........kwa hiyo wavune hao wenye kipato kidogo hata kama ni chini ya cha kwao..........
 
na akina dada wasichelewe kuolewa wakifiri ya kuwa wenye kipato zaidi yao wako njiani kuwafukuzia.......ukweli ni kuwa wengi wao tayari wamekwisha dakwa..........kwa hiyo wavune hao wenye kipato kidogo hata kama ni chini ya cha kwao..........

Haswaaa Ruta...hapo umenena
 
Haswaaa Ruta...hapo umenena

JS wengi wadada wanapenda kusema wanaweza wakimaanisha kukamata nyadhifa tu ikija kwenye kubeba majukumu ya kuwabeba wale wa saizi yao hawataki bado wananyemelea wale waliowazidi ambayo namba yao yazidi kufifilia mbali................wawe wenye macho ya kujua ya kuwa panga linakata pande mbili na ukishikwa shikamana..........wakizubaa miaka sabini itawakuta bado wanaangaza macho..........
 
umeeleza vyema sana, japo hii ndio inasabisha ndoa za siku hizi kutodumu.

Sal unachosema ni kweli..........mwanaumme aliandaliwa atawale sasa soko lamtaka abadilike na akubali kutawaliwa ikibidi abaki nyumbani akilea watoto huku mama watoto akiwa ndiye mleta posho...................ni mabadiliko makubwa na wanaumme wengi wanalalamikia mnyanyaso wa kijinsia na mwishowe................talaka hupanda kwa kasi......
 
Unaongelea wanawake wa wapi? Kwa mfano hapa Tanzania ni wanawake wangapi wanapokea mshahara mkubwa zaidi ya wanaume?
 
Unaongelea wanawake wa wapi? Kwa mfano hapa Tanzania ni wanawake wangapi wanapokea mshahara mkubwa zaidi ya wanaume?

linganisha miaka ya 50, 60, 70 , 80 na hata 90 utaona vipato vya wanawake kwa ujumla vilikuwa chini sasa vimepanda na huku vya wanaumme vikishuka sana..................kwa hiyo ni suala la dunia nzima hata hapa Bongoland......
 
Tulikuwa bado kwenye theory, wewe umetuleta kwenye practical.
linganisha karne ya 20 na 21 haphapa TZ utaona yamekwishawasili hapahapa..............wanaumme tunaanza kupungua nguvu za kiuchumi huku wanawake wanazidi kupanda chati.................na athari zake ndizo hizo.......
 
Women hate each other, ili kubalance their gaps wanaume wengi wanaojituma na wanaojua kutengeneza pesa nyingi wanaoa lazy woman or house wives, that's why ni ngumu sana mwanamke kusema atamzidi shost wake hali za kimaisha sababu hata ajitume vipi shost anaweza akaolewa na jembe na akadrive benz kama kawa,,,

Wanaume wenye pesa hawapend shida za kuoa au kutongoza wadada wenye kipato, ye anaoa yoyote atakaempenda as anajiamini atahitaji msaada wa kipato kutoka kwa wife, so wadada wenye vipato msitulingie sisi kayumbas na kusubiri wadau, wadau wanaoa house wives
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom