Karne ya 21 yawaacha wanawake wengi solemba...

Hii post yako inabainisha kuwa

-Wanaume wanazidi kuwa vilaza, na uwezo wa kupata kazi au nyadhifa za juu zinapungua.
-Mwanamke anataka kujikomboa kutoka kwa mwanamme, sio wote wanataka kuwa goalkeepers
-Hii pia inabainisha kuwa kuolewa si lazima, yes is part of life. You can't force things if do not happen

Lastly, I just want to convey to you that, marriage is something but not everything otherwise there wouldn't be divorces then. Kuwa spinster is not shame, Condolisa Rice is one unmarried woman and is living her life. Virgin Mary was single woman too.....so WTF!

Why... I just feel that you are trying to convince wanawake waanze kulea wanaume, excuse me, not on my account! :)
 
acha uchoyo Madamex...........hizo hela zote unafikiri utazimaliza? Ni kweli wanaumme wengi tumekuwa wavivu siyo kwa matakwa yetu bali soko limetukatisha tamaa..................tunabaguliwa na kunyanyapaliwa...........kwa hiyo mtubebe nasi tutawabeba hata kitandani.....................lol
 
Nilikupenda kimapenzi solemba ehe ila dharau uliweka mbele solembaa!

huyo anahitaji umsomeshe aeelewe mapungufu yake.....................mtunze naye akutunze....................
 
Women hate each other, ili kubalance their gaps wanaume wengi wanaojituma na wanaojua kutengeneza pesa nyingi wanaoa lazy woman or house wives, that's why ni ngumu sana mwanamke kusema atamzidi shost wake hali za kimaisha sababu hata ajitume vipi shost anaweza akaolewa na jembe na akadrive benz kama kawa,,,

Wanaume wenye pesa hawapend shida za kuoa au kutongoza wadada wenye kipato, ye anaoa yoyote atakaempenda as anajiamini atahitaji msaada wa kipato kutoka kwa wife, so wadada wenye vipato msitulingie sisi kayumbas na kusubiri wadau, wadau wanaoa house wives

hapa ndipo mkata kiu kakata kiu kabisa...................wadada wenye minoti watutafute tuwalee na kuwazilisha watoto wanaowataka kwa udi na uvumba..............wakisubiri wa saizi yao kimapato watasubiri hadi jua litakuchwa..........
 
shift of power and decision making will drastically be affected. Hili nalo mnalionaje wadau?

Ni kweli habdavi.........................lakini kumbuka hakuna free lunch.....................na mtaka cha mvunguni sharti ainame............
 
hapa ndipo mkata kiu kakata kiu kabisa...................wadada wenye minoti watutafute tuwalee na kuwazilisha watoto wanaowataka kwa udi na uvumba..............wakisubiri wa saizi yao kimapato watasubiri hadi jua litakuchwa..........

Usikatishe watu tamaa wewe....watu wanamalengo yao!
 
we wish them goodluck..........they will need it every step of the way........................let them keep on hoping........
 
Mi nataka niolewe na nitakaemzidi kipato. Ni vizuri kwakweli.

hao mbona ni wengi............ninakumbuka gazeti la The Standard wakati moja lilikuwa linawashauri wanawake wa kenya kuja Bongoland watapata wanaumme handsome, wapole lakini wavivu..............hawapendi kufanya kazi...............kwa hiyo hapa tumejaa lakini halahala usije kutunyanyasa na "vijisenti" vyako........yaani tusije kuishia kuwa maboy.........wa kukufulia kufuli zako na kudeki huku tukikupikia....lol
 
Si ndio mnavyotaka...wewe wataka iweje, kipi kikubwa mnachojua mpaka mshindwe kupata kazi ulilie kulelewa, mtazifua kufuli tu na juisi ya pilipili mtakunywa :)
 
sio kwamba nitamnyanyasa ila najua hatonibabaisha. Lol!
 
Hizi ni dalili za power srtruggle.....................ukimtawala jiandae kukabidhiwa divorce papers............akikushinda jiandae kula kitoweo chako bila ya zengwe.....................Remember when you are weak you are strong and vice versa is equally true..............furahia kuwa a weaker vessel and you will enjoy life............
 
Si ndio mnavyotaka...wewe wataka iweje, kipi kikubwa mnachojua mpaka mshindwe kupata kazi ulilie kulelewa, mtazifua kufuli tu na juisi ya pilipili mtakunywa :)

Mademex God ordained you as a weaker vessel........why fight what God had planned for you.....remember your mother Eve disobeyed God and we are all suffering it is time being humble to serve your man with total dedication and with zero tolerence at grumblig be your new motto..........................utafaidi maisha...........kazi hatupati kwa sababu soko linatunyanyapaa.............tuelewe hivyo..........
 
Una uhakika na unayoyasema kijana? Ndiyo maana nikawauliza mbona munahangaika? Nani aliwaambiya kama Mungu ameumba wanawake kama weaker vessels or whatever that means?

Mwenyezi Mungu ameumba wanawake na wanaume kuwa na akili sawa lakini katika kipindi kile cha nyuma walikuwa hawapati fursa kutokana na mfumo waliojiwekea wanaume.

Leo hii mambo sawa kabisa, darasani munabwagwa kuanzia primary hadi University na kwenye interview za kazi munakwenda sambamba ke na me.

Halafu munaanza ooooh wanawake wamekuwa strong kiuchumi, blah blah! Oh you men, grow up and get out of that self made coccoon. And don't blame God for that.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom