Karnataka college India

kinye

Member
Mar 14, 2009
38
11
Computer Science, Statistics, Business Studies, Accounts (CSBA)
2. Computer Science, Economics, Business Studies, Accounts (CEBA)
3. History, Economics, Business Studies, Accounts (HEBA).
Hizi ni baadhi ya course zitolewazo kwa pre university kwa wale wote waliomaliza form 4.Chuo kinaitwa Karnataka na kipo mji wa Bangalore nchini India.
Website www.karnatakaeducationtrust.com na kwa mawasiliano kwa ajili ya admission ni aahmeda59@hotmail.com au 0655492431.
 
Mkuu wangu kinye, kuliko kuanza kusumbuana kwenye email na simu hebu funguka zaidi kuhusu qualification za kujiunga, pia gharama ziwe wazi kabisa maana wapo wengi wanaohitaji, Pia upo uwezekano wa mtu akimaliza hiyo pre-university ataruhusiwa kuja kumalzia degree yake bongo au ni lazima na degree umalize huko?
 
Last edited by a moderator:
Qualifications ni mtu mwenye D 3 anaruhusiwa.Na ukimaliza hio pre university ni course kamili ambayo mtu anaweza kusoma Chuo chochote duniani kwa level ya degree.
Na fees kwa miaka yote miwili ni $3000.
 
Ndo maana nikasema kwa zaidi tuwasiliane.

Utawasiliana na kila mtu umwambie accomodation ni kiasi gani? Tupe full details mkuu,kinachofanya watu tushindwe kusoma nje ya nchi ni "mshiko" na sio course au hizo D tatu,tupe at least approximation na malazi na gharama nyingine(kama zipo).
Na je,kuna masters hapo?
 
Back
Top Bottom