Karibuni ughaibuni

Timor

Member
Feb 4, 2009
48
32
Nafurahi tena kupata wasaa huu kuwasalimu waJF wote pamoja na kuwashukuru kwa michango yao wakati wa sakata lile la ukombozi pale Peacock Hotel.Kwa sasa hivi niko nchini Uturuki kwa kazi ya hotel.Ilikuwa ni bahati tu katika kueleza tabu niliyoipata nilipata msamaria aliyenileta hapa Uturuki kufanya kazi SIYO ZA UBEBAJI WA MABOX bali professinal jobs .Hakika nayafurahia maisha hapa kwani kipato ninachokipata sasa ni mara mia sita ya kile nilichokuwa nakipata huko TZ.Nawakaribisha vijana wenzangu wenye fani kama yangu waje kazi nje nje hapa na maisha ulimsuwano kabisa.Sitaacha kuwakumbuka wana JF kwa harakati zao za ukemeaji wa maovu hususani ya udhalilishaji wa wanawake
 
Ingekuwa vizuri utujuze wngine nini kilitokea hapo Peacock na isue nzima ya JF kwani pengine wengine hatujui ili tuweze ona how JF was realy of help to you.

Otherwise kila la heri huko uliko.
 
Back
Top Bottom