karibuni sana

Joyceline asante sana kwa kutukaribisha,mimi nina shida kidogo,shida yenyewe ni natafuta mchumba mwema, naimani nikija hapo nitapata kufunuliwa.je nikifika hapo nitakuonaje?
 
wapedwa kwa wale mlioko dar,

nawakaribisha kwenye ufunguzi wa huduma ya ngurumo ya upako hapa dar es salaam, itafanyika kwenye viwanja vya tanganyika pakers kawe, na ibada zitakuwa zinaendelea hapo kila jumapili, mtumishi wa mungu geor davie atakuwepo kukuhudumia.
Mimi ni muumini wa kanisa hilo nawakaribisha sana mje muone ukuu wa bwana.

kwanini mhehama arusha wakati bado mnahitajika sana?/
nadhani dar kuna wahubiri wengi sana,
mngekaa arusha mngewalisha zaidi kondoo wa bwana
 
kwanini mhehama arusha wakati bado mnahitajika sana?/
nadhani dar kuna wahubiri wengi sana,
mngekaa arusha mngewalisha zaidi kondoo wa bwana

arusha ipo na mwanza na hapa Dar pia, siyo lazima yeye awepo ndo huduma iendelee kuna wachungaji na wainjilist wanaendeleza huduma na siyo kila mara yupo dar, hata yeye asipokuwepo bado injili inaendelea..
 
ushauri wa bure:tafuteni mtu awatengenezeeni website jamani hiyo sijui ni kitu gani mmeweka hapo.

Asante, ushauri kama huo unafanyiwa kazi, tumeambiwa tutoe maoni kama kuna kasoro zisemwe waziwazi, nini kitolewe na kiongezwe, lakini pia ipo kwa majaribio, itafanyiwa marekebisho kutokana na maoni ya watu
 
Joyceline asante sana kwa kutukaribisha,mimi nina shida kidogo,shida yenyewe ni natafuta mchumba mwema, naimani nikija hapo nitapata kufunuliwa.je nikifika hapo nitakuonaje?

Unapomtafuta Mungu, kwanza unatakiwa nia ya kumpokea Yesu na kubadili matendo yako, unapoenda kwenye ibada au maombi kwa nia ya kutafuta mchumba, nakuhakikishia ndugu yangu hutapata. Biblia inasema , mtafuteni kwanza Mungu kwa bidii na hayo mengine mtazidishiwa.
 
nashukuru kwa ushauri wako mzuri...nitaufanyia kazi .
 
Hakuna ndoa isiyokuwa na migongano, ukiacha yule ni mtumishi wa Mungu lakini pia ni binadamu siyo malaika,
Hajaachana na mke wake wanaishi naye na wala hawana ugomvi, kama ulisikiliza kama wiki tatu zilizopita alihojiwa na Wapo radio na akaulizwa swali hilohilo akalitolea ufafanuzi, kwamba anaishi na mke wake vizuri hata wakitaka ampigie simu waonge naye.
Ubarikiwe Joy
 
Joyceline asante sana kwa kutukaribisha,mimi nina shida kidogo,shida yenyewe ni natafuta mchumba mwema, naimani nikija hapo nitapata kufunuliwa.je nikifika hapo nitakuonaje?
Kaa chonjo,Ibilisi huyoooo anakuja!
 
Joycelin unaweza ukawa ni wewe tuliyekutana Kyela nyumbani kwa mwenyekiti wa CCM Mzee Mwakasumi au majina tu yamefanana?
Kama ni wewe mimi ni"mwanao"wa pale Kyela-Bondeni ambaye niliyeondoka Kyela kwa"sababu za kisiasa"
Nijulishe!
 
Hapana, siyo mimi sijawahi kufika mbeya wala sipajui kabisa,nadhani ni majina yamefanana,
 
Wenye afya hawaitaji daktari bali walio wagonjwa, Mungu anawaita wote na atakubadilisha taratibu. Karibu mpedwa.

hehehe umenikumbusha wanao enda kanisani walio wengi ni wenye matatizo yao wangine wanaenda kwa ajili ya kujisafisha si uliona Yo Yo alimdondokea Mungu? baada ya matatizo kumbana akaamua kumrudi Mungu. Mi bado sijakumbwa nasubili.
 
Fidel ndugu yangu,
Uhai/uzima wako hauko mikononi mwako. Hujui nini kitatokea sekunde ijayo na wala hujui wewe utakumbana na matatizo ya aina gani ukijilingalisha na Yo yo. Waweza usipate hata hiyo nafasi ya kutubu ukajikuta umeangamia for good. Kwahiyo ni vyema ukayatoa maisha yako kwa BWANA YESU leo. "Tazama siku ya wokovu ndiyo hii na saa ya wokovu ndiyo sasa".
 
wewe Nyamungo vp tena mkaribisho tuchangie nini sasa?
Mi nitakuja nitakuwa napiga 2 kwenye bar opp. na yanapo paki malori pale kisha narudi mkutanoni bila stimu siwezi nikasikiliza vizuri neno.

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Joycelin unaweza ukawa ni wewe tuliyekutana Kyela nyumbani kwa mwenyekiti wa CCM Mzee Mwakasumi au majina tu yamefanana?
Kama ni wewe mimi ni"mwanao"wa pale Kyela-Bondeni ambaye niliyeondoka Kyela kwa"sababu za kisiasa"
Nijulishe!

Au ndie wewe mh. wa ile tume iliyokuwa inachunguza mambo ya Richimundi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom