Karibuni kwenye ibada

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
708
Kama unahitaji ratiba ya ibada wasilia nami kwa 0754

nendakwenyeswala.jpg
 
picha yenyewe umepigwa kwa mbaali, unaonyesha uliyo mwoga, ungesema tukuletee picha za ndani ya temple!
 
kama nainyaka vile....au naifananisha nini.....wapi hii mkuu.....?
 
picha yenyewe umepigwa kwa mbaali, unaonyesha uliyo mwoga, ungesema tukuletee picha za ndani ya temple!

hazinisaidi kitu maana hata kwenye net zimejaa za ma logde yote au unafiki ni hapa kwetu tanzania watu wanawanga wanajii freemans. Ushambaa tuu
 
hahahha mkuu hiyo nayo ni dini aaati!

Ndio Mkuu ni Dini kama dini nyingine kwani hizo nyingine zilianzisha na nani maana siku hizi zipo nyingi wengine wasanii tu wanasaka mahela kwa jina la yesu
 
Ndio Mkuu ni Dini kama dini nyingine kwani hizo nyingine zilianzisha na nani maana siku hizi zipo nyingi wengine wasanii tu wanasaka mahela kwa jina la yesu

Umeona mkuu eeeh ni hatari, na haka kadini unaambiwa makao makuu yapo tz kwa afrika
 
Hilo hall very famous, Katikati ya Dar es Salaam. Huduma ya kuwa tajiri inapatikana hapo au ni jina tu?
 
Umeona mkuu eeeh ni hatari, na haka kadini unaambiwa makao makuu yapo tz kwa afrika
Ni kongwe kweli hapa kwetu maana ilianzia Zanzibar na mkuu wa kanda yetu yuko hapahapa Tz
nasikia Fainali ya Muumbaji na Shetani inakaribia eti kuna wanaosema jamaa anajitahidi watoke droo kwenye kugawana waumini
 
Aaaaaghhhh..

mkiruwa nasema Aaaaghhhh. nasikisi wameku siku hizi wengi kweli wamejiunga ndio maana wameamua kuwa na la kwao siku hizin au hujaenda moshi siku nyingi liko karibu na round about ya Arusha unapanda kama mita 50 hivi wachagha hatuku nyuma, halafu hii imani ya supreme being haiana tofauti sana na sera moja ya kichagha ya umiliki wa mali na fweza
 
Back
Top Bottom