Karibu tukujengee mtambo wa Biogas

KARIBU TUKUWEKEE

Mitambo ya kwa ajili ya matumizi ya kupikia kwa nyumbani, Ofisini, Mashuleni na Taasisi mbalimbali. Mitambo hii ya Biogas inatokana na Vinyesi vya Wanyama wote na ndege(kuku) pamoja na mabaki ya vyakula.

Tutakujengea mtambo wa Biogas kulingana na mahitaji yako. Pia kama una mtambo wa Biogas ambao haufanyi kazi tunaweza kukurekebishia na kufanya kazi upya kama zamani.

Karibu.Tutakufuata popote ulipo nchini Tanzania, mkoa wowote.

Kuna plant ya 8, 15 mitacube, 50, 65, 75 mpaka 100 mpaka 200 na kuendelea kulingana na mahitaji ya mteja

TUNAPATIKANA KWA NAMBA HII 0686124826

Okoa mazingira kwa kutumia Biogas.
GridArt_20230616_112322387.jpg
GridArt_20230616_112214924.jpg

GridArt_20230616_111538455.jpg
 
Back
Top Bottom