Karibu tufahamishane gharama mbalimbali unazopaswa kulipia kwaajili ya kutoa gari bandarini mbali na ushuru

Prodigy Oligarchy

JF-Expert Member
Mar 21, 2020
571
643
Heshima mbele Jf ...

Naona bado asilimia fulani ya watu wapo kizani, kwenye suala zima hili la gharama mbali mbali ambazo watapaswa kugharamia mbali na ushuru wa TRA kwaajili ya magari yao.

kwa namna fulani, hii imeleta mkanganyiko kwa watu wengi, sasa basi kwakua

JF IS WHERE WE DARE TO TALK OPENLY

Mimi na wewe na mwingine ambaye anafahamu , tuweze kutumia uzi huu kuwasaidia wengine ambao bado hawafahamu.

Weka details za gari uliyoagiza ama unayotarajia kuagiza hapa tusaidiane kufanya ukokotoaji wa gharama zote hapa.

- P. O
 
Me nakushauri chukua namba ya wakala wa kuingiza magari ongea nae atakuelekeza every detail unayotaka kujua. Hapa mtandaoni kuna possibility usipate taarifa sahihi au ambazo ni outdated.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Delivery Order hii huanzia $20-$80
2. Port Charges(nimesahau jinsi ya ku calculate) TPA
3. Wharfage + ushuru ( TRA)
4. Bima
5. Plate number 34,000
 
Me nakushauri chukua namba ya wakala wa kuingiza magari ongea nae atakuelekeza every detail unayotaka kujua. Hapa mtandaoni kuna possibility usipate taarifa sahihi au ambazo ni outdated.

Sent using Jamii Forums mobile app

Agent atampa Bei ya kuuzia gari,
Maana ukiachana na gharama za kuagiza , Ushuru n.k
Lazima wakupige 1.5-2mil faida yao.
 
Back
Top Bottom