Jamani wanajamvi habari zenu. Hv nguvu za kiume zimekuwa tatizo namna hii. Nishasikia wadada wenzangu wengi wanalalamika khs waume/wapenzi wao kutokudndsha ipasavyo. Mie yamenikuta pia, mpenzi wangu akigonga mara 1 hawez kucmamisha tena mpk wiki mbili zpite. Inaniuma sana. Nimsaidieje jamani, aweze kupga bao 2-3?