Karibu katika maonyesho ya 77 muone bidhaa zetu

Hisham Pokoho

Member
Jun 25, 2014
60
45
Tupo kwenye Tent ya selous,tumekuletea bidhaa zetu mbali mbali kama mold za mikanda ya Gypsum,fiber boat na mikanda ya gypsum.

WhatsApp +255653020784

IMG_20220629_172712.jpg
 
Kuna tofauti gani baina ya boat na mtumbwi mbali ya lugha??

Nahisi ulichouliza ni mithili ya kuuliza tofauti ya food na chakula.

Ila wewe ni Dr wa falsafa. Itakuwa unajua zaidi.
Sasa na hii utaita nini?
 

Attachments

  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    32.7 KB · Views: 5
Back
Top Bottom