Karibu JamiiForums Mhe. Rachel Mashishanga

Ndio anajiunga kwa mara ya kwanza au ameamua kuja kivingine tu? Karibu sana mheshimiwa!

Yeah! hii ni M4C hata humu! lazima watu sasa waje na real name zao zinalipa!!! kwa mfano mimi kesho natumia jina langu kamili yani! Bujaga Isengo Kadago.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mbunge huyu RACHEL MASHISHANGA ndie pekee ambaye ame-declare kuwa kambi ya Zitto 2015 na hivi karibuni alitangaza kuwa anatishiwa kuuawa kutokana na kumuunga mkono Zitto kuwania urais UNLESS leo aje akanushe hili. Anyway karibu sana JF Mheshimiwa.

I simply say karibu Jamvini mengine baadaye
 
Leo tuna kukaribisha na kiti unapewa ila kesho ni shamba!
Haya karibu mdada jisikie nyumbani eee...
 
Yeah! hii ni M4C hata humu! lazima watu sasa waje na real name zao zinalipa!!! kwa mfano mimi kesho natumia jina langu kamili yani! Bujaga Isengo Kadago.
Safi sana mkuu. Kumbe wewe ndiye Bujaga? Upo wapi siku hizi?
 
Kama akimuunga mköno ZITTO ataumbuka kama mzee wake Steven Mashishanga aliyetangaza Live kuwa kambi ya Sumaye akiwa Rc Kagera mwaka 2005,yaliyomkuta Dhaifu alipochukua Nji Hata pensheni kakosa.
 
Hapana mkuu, alikuwa RC Morogoro na hata baada ya uchaguzi na kupigwa chini u-RC bado anaishi Morogoro kwenye kibanda chake hadi sasa
 
Halafu mwana hii rangi yako ya kijani inakera hii! hivi wewe kweli una........... daah! basi tu!!!

mkuu mbona utakuwa unaingilia uhuru wangu? hata mie siipendi rangi ya blue lakini siwezi kukuambia kuwa rangi yako inanikera inabidi nikubali kusoma tu maandiko yako na rangi yako ya Blue,
Tuvumiliane tu
 
Oke nimekuelewa kumbe wewe kada! poa nisamehe mzee
 
Back
Top Bottom