Karibu FAGO express, kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kwa wateja

Mkuu Tozonia kwenye aina yako ya biashara ukishaweka neno FURSA jua umeshakimbiza wateja muhimu ambao wao tayari wanataka huduma sio mambo ya FURSA.

Haimaanishi kuwa hautapata wateja, hapana. Wateja utawapata ila ni wale wanaojitafuta hawa huwezi waona kama wateja type A japo mbeleni wanaweza kuwa type A (kama wakifanikiwa biashara zao)

Mimi nakushauri mtafute huyu mdau Lewis MVincent kama bado haujamtafuta muongee haya masuala ya Marketing, nimemtaja hapa sababu yupo verified JF so anaweza kuaminika zaidi.

Pia kwa wewe Tozonia kuwa verified Mkuu au kama sio wewe basi hiyo kampuni yenu iwe na akaunti humu kisha iwe verified pia.

Kila la kheri
Namtafuta leo
 
Tanzua Express wanayo
Chief kwenye line YETU ya Biashara hatuuzi vitu, tunaagiza vitu Kwa niaba ya mteja na usafirishaji tu.. mteja nakuja nahitaji lake sisi tunamfanyia sourcing tunaagiza nakumsafirishia..

Ifahamike hatuuzi kitu. Tunatoa huduma

For business or inquiry call +255765018958
 
Jamaa amekula Kona!
Tatizo la wabongo Ni Hilo wanashindwa kuwa wakweli katika kutoa taarifa..wanakimbilia kuleta ujanja ujanja,badala ya kukuweka wazi Tatizo Ni Nini?
Yani nimeishiwa ata nguvu yakuteeleza hapa jambo la spodo kashatatuliwa tumeongea na karidhika sometimes time ni mwalimu mzuri..
 
Huduma zenu mbovu sana, hamna adabu na hamjali wateja. Simu hampokei leo siku ya 5, mizigo yangu ina 26 days hlf unasema unaagiza kwa haraka. Mwambie Jackson akafanye shughuli nyingine hakuna mtu atakaekubali ujinga na utoto mnaofanya. Kama mnakosa mpaka hela ya kutoa mpaka mizigo for a week ni mteja gani ataekubali kufanya biashara na nyinyi.? Seriously mmenikwaza na siwezi kumshauri mtu afanye kazi na nyinyi. Janja Janja nyingi sana
huyu mtu hahusiki na kampuni ya fago express kama ulikuwa mjanja ungegundua adress ya china aliyokupa siyo ya fago express bali alikupa ya kampuni nyingine inayochipukia hawana ofisi wala mtaji wa kueleweka wanaunga unga tuu.. ukifika ofisi za fago express watakwambia hawamtambua huyo mtu ni tapeli tuu.
 
Habari huyu mtu pia mimi namtafuta hapokei simu zangu. Kwa dalili ninavyoziona anataka kunitapeli. Sasahivi anafanya kazi na kampuni nyingine inaitwa Dynamic Air and sea cargo Ltd, ofisi yao wanasema ipo Diamond plaza mida hii nimetoka hapo nimezunguka na polisi sijawapata yani hawapo hapo
 
Kuna mzigo niliagiza wa Tsh.1.7m nimempa cash laki 7 na elfu hamsini kwa makubaliano mzigo ukifika nimmalizie laki 9 na elfu hamsini
 
Habari huyu mtu pia mimi namtafuta hapokei simu zangu. Kwa dalili ninavyoziona anataka kunitapeli. Sasahivi anafanya kazi na kampuni nyingine inaitwa Dynamic Air and sea cargo Ltd, ofisi yao wanasema ipo Diamond plaza mida hii nimetoka hapo nimezunguka na polisi sijawapata yani hawapo hapo
weee uliagiza mzigo nini, huyo ni muongo hawana ofisi wala nini, bora niliwashtukia mapema kabisa, kuna mwingine humu anajitangaza na kampuni yao ya flamingo express aisee wako poa kabisa mzigo wangu umefika ontime kabisa itakiamo
 
Back
Top Bottom