Kariakoo na Ilala'wamelala au ni nini?

Kaka najitahidi sana mpaka nakaribia kushindwa! nafikiri hapa tunahitaji tawi la CDM
haraka iwezekanavyo na tulifunguwe kwa mbwembwe
watakuja kuipenda ikiwa chama tawala pamoja na wenzao wa kusini na watagundua kuwa wamechelewa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
 
Kaka najitahidi sana mpaka nakaribia kushindwa! nafikiri hapa tunahitaji tawi la CDM
haraka iwezekanavyo na tulifunguwe kwa mbwembwe
Hakika hautashindwa, wave ya mabadiliko itawakumba tu, time will tell. Fikiria ilkuwaje mwanza kabla ya 2010. Nafikiri tulikuwa hatuna hata diwani sasa tuna wabunge watatu na halmashauri mbili.
 
Back
Top Bottom