Kariakoo na Ilala'wamelala au ni nini?

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Jamani,mimi ni kijana ambaye nimekulia Ilala na sasa ninaishi hapa kariakoo
takribani miaka 10 sasa. So ninamarafiki au washikaji wengi sana kuanzia wa
bantu wenzangu,wapemba,waarabu,wahindi kidogo na wangazija kidodo'kwa
ufupi najulikana kidogo mitaa ya livingstone,sikukuu,tandamti,msimbazi,congo,
swahili,narung'ombe,lumumba,uhuru nk. Na kule Ilala najulikana kuanzia mitaa
ya arusha,moshi,tabora,amana,lindi,kasulu,bungoni nk.

Lakini pindi niletapo mada au hoja fulani ya kuikosoa serikali ya ccm'basi hapo
huwa navuruga hali ya hewa kwa marafiki zangu wote! yaani wanaipenda ccm
sijapata ona! ni balaa tupu. kila ninapojitahidi kuwaelimisha kwa kuwapa mistari
safi na yenye ushahidi' wao ni watu wa kubisha tu! eti wanasema wao na mbunge
wao ZUNGU,wao na ccm tu.

Binafsi mimi ni mwanachama wa CDM na ninaipenda sana chadema,hivyo huwa na
jaribu kuwapa hawa marafiki zangu sera za CDM na geografia yake kwa manufaa
ya Taifa letu na wananchi wote. Jibu lao wanasema ni bora kuipenda CUF kuliko CDM. Ukiwauliza kwanini,utasikia wanakujibu CDM ni chama cha wakristo na ukabila na hatukitaki hata kukisikia. Najaribu kuwaeleza kuwa hizo ni propaganda
za ccm na msizikubari' lakini hawa wakazi wa huku ni wabishi kuanzia wazazi hadi
vijana wao.
My take - Kinachoniuma nikuona Ilala na kariakoo ndio makao makuu ya jiji la
bongo na labda huenda ndipo kuna wajanja wengi sana ambao wangeleta chachu
ya mabadiliko ya kuiondoa ccm madarakani. Lakini sielewi kwanini wakazi wa mae
neo haya hawaipendi CDM? tufanyenini ili hawa watu waamke kwa faida ya CDM?
Iweje CDM ikubarike vijijini na mikoani alafu ishindwe kukubarika Ilala na kariakoo?

Nawasilisha wandugu
 
ipo siku wataelewa tu chadema ni nini ...na watakiunga mkono ..we endelea kuwapa mistari tu usichoke
 
ipo siku wataelewa tu chadema ni nini ...na watakiunga mkono ..we endelea kuwapa mistari tu usichoke
Kaka najitahidi sana mpaka nakaribia kushindwa! nafikiri hapa tunahitaji tawi la CDM
haraka iwezekanavyo na tulifunguwe kwa mbwembwe
 
SWALI
Hao jamaa zako wanajikumu kimaisha kupitia njia halali au ni wajanja wajanja, ma maliyoo, wapiga mizinga maarufu na matapeli wazoefu? usitegemee madaliko makubwa sana kutoka kundi hili.
 
Mkuu inaonekana wazi kuwa uelewa wao ni mdogo sana, lakini muda si mrefu na kwa ugumu huu wa maisha wataelewa tu!!!!
 
SWALI
Hao jamaa zako wanajikumu kimaisha kupitia njia halali au ni wajanja wajanja, ma maliyoo, wapiga mizinga maarufu na matapeli wazoefu? usitegemee madaliko makubwa sana kutoka kundi hili.
Mkuu ni sawa baadhi yao wanasifa kama hizo ulizoorozesha hapo japo si wote' lakini na wazazi wao kulikoni?
Yaani kama sikumoja ungetembelea mitaa hiyo ungejionea mwenyewe na ungechoka kwa mshangao kuhusiana
na hawa watu ni jinsi gani wanaipenda ccm wakati wako katikati ya jiji!
 
endelea tu kuwaelimisha lakini pia hili tsunami la cdm litawabeba tu hata wasiohusika,tusubiri tuone.
 
Hakuna Makanisa strong hapa kwa hiyo rituljia haipigwi sawasawa
 
SWALI
Hao jamaa zako wanajikumu kimaisha kupitia njia halali au ni wajanja wajanja, ma maliyoo, wapiga mizinga maarufu na matapeli wazoefu? usitegemee madaliko makubwa sana kutoka kundi hili.

Habari ya udini chadema na ukabira hasa Uchaga vina fanya watu wengi waishitukie CDM
 
Mkuu inawezekana njia unayotumia ku-deliver criticism zako dhidi ya CCM haiwa-convince kuafiki hoja zako..
Inawezekana unatumia jazba kuwaelewesha hao watu..
Jaribu kuto-mention CCM au Kikwete wakati unawashawishi na badala ya hapo jadiliana nao kuhusu mambo yanayowagusa na uwaeleze jinsi ambavyo Serikali ingekuwa makini yasingekuwa kama yalivyo sasa, Mfano: Tatizo la Umeme, Ukosefu wa ajira, Matokeo mabaya ya mitihani ya NECTA, Foleni n.k

Kubwa zaidi, wape nafasi ya kueleza hoja zao,, wasikilize zaidi, jifunze kutoka kwao ili uweze kuwafundisha vyema..

Hebu kajaribu, ikishindikana, njoo tujadiliane zaidi..
 
Habari ya udini chadema na ukabira hasa Uchaga vina fanya watu wengi waishitukie CDM
Nafikiri wewe ni mmoja kati ya watu walionipelekea mm kuazisha threed hii.
Tena wewe ni......fu kuliko wakazi wa ilala na kariakoo. dadabua kwa hoja na si huu
...... unaniwako
 
Mkuu inawezekana njia unayotumia ku-deliver criticism zako dhidi ya CCM haiwa-convince kuafiki hoja zako..
Inawezekana unatumia jazba kuwaelewesha hao watu..
Jaribu kuto-mention CCM au Kikwete wakati unawashawishi na badala ya hapo jadiliana nao kuhusu mambo yanayowagusa na uwaeleze jinsi ambavyo Serikali ingekuwa makini yasingekuwa kama yalivyo sasa, Mfano: Tatizo la Umeme, Ukosefu wa ajira, Matokeo mabaya ya mitihani ya NECTA, Foleni n.k

Kubwa zaidi, wape nafasi ya kueleza hoja zao,, wasikilize zaidi, jifunze kutoka kwao ili uweze kuwafundisha vyema..

Hebu kajaribu, ikishindikana, njoo tujadiliane zaidi..
Mkuu nashukuru sana kwa maoni yako! is very good sound from u. Lakini huwezi amini jinsi gani napigana ki mawazo
na busara juu ya hawa watu. Nilianza hata kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010. Huwa natumia hekima na busara na mi
fano kibao,lakini wapi mkuu!
 
Ok, then give time time.. Ipo siku watakuelewa, as long as unasimamia ukweli....

Pamoja mkuu.
 
Politics is tactics kama ilivyo vita. Inaelekea Chadema wame concentrate on the national level zaidi na wakati wanachama wana toka grassroots. In short Chadema inabidi ikae chini na kuamua ni maeneo yapo ni strategic areas. Hili lina wezekana kwa kufanya survey na kuangalia population na muamko wa kisiasa wa eneo. Wakisha tenga hizo strategic areas wafungue matawi kama bado hawana matawi. Wakisha fungua matawi wajaribu kuattract members wachache wa jamii hiyo ambao wana heshimika. Pata ring leaders kwenye makudni makuu ya vijana, wazee na wanawake na hawa waipigia kampeni CDM at a grassroots level. Na hapa naongelea something more planned and organized. I'm telling you hivi vyama vyetu havina tacticians ambao siyo wana siasa. Kuna hitajika tacticians na wanasiasa.
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia miamoja. Hichi ulichoandika ni mtazamo safi unaoendana na kilio changu cha hawa wakazi
wa huku! yaani umepigilia msumari wa moto kwenye hii mada yangu. Unajuwa kama CDM wangefanikisha kuwateka wakazi wa kkoo
na ilala kisera na kihisia basi ingekuwa wamemaliza kazi jiji lote la bongo. Maana kkoo na Ilala ndiyo Dar es salaam yenyewe
 
nimeishi kariakoo pia, mi nahisi kwasababu hawana shida za hapa na pale, as kariakoo na ilala kuna maji, mitaa yote ya kariakoo ina barabara.lele mama,wanategemea madili kuendesha maisha yao.unategemea nini?then majority ni waislam as kwasababu kikwete ni muislam basi wao roho zao burdaaaaaaaaaaaani. hata kama wanashida
 
mmmmh......nimekupata mkuu lakini sifikiri kuwa eti wanaichagua ccm kwa vile wanamaisha mazuri' maana hapa kkoo na Ilala kuna watu
wanauza vitumbua na bagia za kachori mbele ya vibalaza vyao kila siku,na wengine wanakesha kwa kuuza chipsi usiku kucha hadi asubuhi.
Labda uniambie hili la kumsaport kikwete kwa kuwa muislaam mwenzao. Lakini hata hivyo siungi mkono hoja yako moja kwa moja
 
Mkuu Mshikachuma ni wakati Chadema itafute haswa vijana wanao maliza chuo wawe strategist wao. Sisi vijana wa dotcom era tunaweza kuwa msaada mkubwa sana kwa kuleta fresh ideas ya haswa jinsi ya kueneza ujumbe kwa kutumia classic means (mihadhara, maandamano etc) na pia new age means (mitandao, simu etc). Tena kama nilivyo sema hawa vijana si lazima wawe wanasiasa au na nafasi ya kisiasa ndani ya chama. Wao kazi yao ni kucome up na strategies tu. Mbona wenzetu nje wanakuwa na PR officers, media department etc? Watu tafute tu vijana watupe sera tuta kao kubaliana na sera zao tuta wafanyia kazi.
 
Back
Top Bottom