Kati ya viongozi walioiongoza FAT na leo TFF ni Rais huyu wa sasa ambaye amekuwa akiipambania sana Simba(wana Simba tuna kila sababu ya kumshukuru huyu mwamba).
Za ndani kabisa zinaonyesha kuwa mwamba anapambana sana kuiepusha Simba isikutane na Al Ahly au Mamelod, anaipigania timu yetu ipangwe kukutana na Petro de Luanda kwenye robo fainali.
Rai yangu kwa karia ni kwamba itakuwa ni busara kubwa iwapo atazipambania timu zetu zote mbili, angalau YANGA naye akutane na Asec badala ya Mamelod.
Mikakati nje ya uwanja huwa inatubeba sana maana huku KARIA na pembeni MO Mmiliki wa kilabu yetu aliyoinunua ambaye anapoamua kuhonga hakika lazima uingie tu.
Hata ushindi wa jana ni mikakati yake kwa wale makirikiri na lengo lilikuwa kuyazima majungu ya wanasimba kuijadili ile kauli yake ya kuinunu.
Wana Simba wenzangu kuwapata viongozi kama hawa wanaoipambaniitachukuwa muda sana.