Kareem Mandonga kusherehesha siku ya mwananchi,CAF final pre party

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Shangwe kubwa linamsubiri nabii huyu wa logo ya utopolo fc, wakati kelele zinapigwa kwamba nembo ibadilishwe mcheza netball, mwenge na bondia watolewe kelele hizo zilipuuzwa kumbe Mungu alikuwa na lengo aiseeee

Utabiri umetimia, yule bondia wa kwenye logo kapatikana na tarehe 6 atakuwepo kuchombeza siku ya mwananchi ambayo pia itatumika kama CAF FINAL PRE PARTY yaani watasheherekea in advance kuingia fainali ya champions league mwaka huu..hapa kambole, pale Ki Aziz, BM 3, mayele wweeeeeee weeeeee weeeeeeeeeeeeee

mandonga fc.jpg
download.jpg
 
Jamaa anafanyia zoezi msituni, ni yeye na miti tu. Piga mti mpaka unaelekea kukatika 😄😄

Huyu jamaa ukiwa muoga lazima ukimbie pambano, bit kibao maneno debe, clip kama zote.

Ila yote kwa yote nadhani lile pambano ilikua ni lazima adundwe tu ili apate umaarufu zaidi, na kushindwa kwake huenda kumemuingizia pesa kuliko angeshinda.
 
HAKUNA MAELEKEZO MAPYA NI NDONGA TU

WAPINZANI, MSIJE NA STRETCHER, NJOONI NA JENEZA
 
Yanga ni mandonga mikwaala mingi wakienda caf wanapakatwa nje ndani
 
"Kupigana na mandonga ni Sawa na kuingia ghetto la popobawa kinyumenyume alafu haujavaa nguo"..kauli ya Karim mandonga kabla ya pambano lake na kaoneka

Jamaa ana mikwara mizito Sana
Aliyempiga mandonga Hana umaarufu Kama mandonga mwenyew yaan unampiga mtu alfu anakuwa maarufua. Dah hatar sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom