Kardinali Pengo: Watanzania wa dini zote mniombee

Na yeye anataka kuombewa kama mkulu,na sisi tutaombewa na nani.
 
Kinachomtafuna Pengo kinapatikana kwenye kitabu cha
.
Yeremia 20:11-12
.
Chukua mda wako usome ewe Mtanzania unayeminywa haki zako, utafurahi ajabu ya kwamba MUNGU yuko upande wetu sisi tunao onekana wanyonge.
 
Kardinali pengo amesema hivuo kw sbbu wachungaji kw ss wanekoma kuwa watumishi waaminifu kw viapo vyao.badara yake wamekuwa watumishi wa matumbo yao.
 
Mkuu kwa kanisa katoliki kumuombea askofu wao na baba mtakatifu ni kawaida ktk kila ibada ya jumapili inapofika sehemu ya maombi. Haijaanza leo wala miaka michache iliyopita.
Akijua hivyo sasa kwanini anaomba wamuombee wakati anajua kila siku anaombewa? Au anahitaji maombi spesheli?
 
Baba Mungu tunamuombea Kadinali wetu Pengo baba kwani hajui atendalo. Baba amekwenda kinyume mpaka na mahubiri ya Papa Francis wakati mafundishovya Kanisa yanasisitiza utii na unyenye kevu.

Tunaomba haya kwa njia ya Kristu bwana wetu,
Amen
 
Ee Mungu unajua tunavyompenda sana Kadinali pengo, lakini tunakuomba wewe umpende zaidi.

Amina.
 
Namhurumia sana huyu mzee kwa .maana inaonyesha watu wengi wamekasirishwa na misimamo yake.

Namwombea kwa wananchi wamchukulie poa. Enyi wananchi nawaomba mmsamehe mzee wetu.
 
Back
Top Bottom