Kardinali Pengo na Askofu Malasusa ni kielelezo cha unafiki wa viongozi wa dini

Leo nyumbu mmekuwa chawa wa Membe mkishadadia makosa ya kimchongo ya Musiba
Unateseka mwenyewe!
Kulialia hapa hakutowasaidia, suluhisho ni kuitana nyie wafuasi wote wa shetani lenu la Chato mfanyeni harambee kumsaidia mwenzenu mana marehemu mlokuwa mnamtumainia keshaoza huko
 
Siku musiba akitoka hadharani na kumuomba Mzee Membe, wastaafu na watanzania wote aliowachafua nitakuwa wa kwanza kumshawishi kachero Membe kumsamehe lkn vinginevyo MEMBEapewe pesa zake alidhalilishwa sana
Exactly.
 
We Una akili timamu kweli, Dini kazi yake ni Amani, kazi ya kiongozi wa dini ni kusuruhisha whatever the case, ujinga umekujaa
Kwa hiyo wakati Musiba anamtukana Membe hao viongozi wa dini(Pengo na Malasusa) walikuwa hawajazaliwa? Wamezaliwa baada hukumu ya 9.9b kutoka kwa Msiba kwenda kwa Membe? Jaribu kushirikisha medulla Oblongata yako vizuri
 
Kukemea ndio kumtukana rais Magufuli matusi leo unayaona makosa ya Musiba ila kina Mange kimambi na Tobias Marandu hukuona wewe na genge lako la nyumbu ndio wanafiki wakubwa na mmejaa uzandiki na visasi
Kama unaona magufuli alitukanwa na Mange na Marandu, kafungue shauri mahakamani kwa niaba yake. Magufuli mwenyewe alijua hatukanwi ila anaambiwa ukweli mchungu ndio maana hakuwachukulia hatua kwa uwezo aliokuwa nao, kwani angeweza hata kutumia interpol. Kuwa mkweli uwe huru. Acha unafiki kemea uovu.
 
Hivi makosa ya Shetani unayajua? Au unaropoka kimehemko
Ni kujiinua kama musiba. Na ukijiinua unakatwa. Wote waliopata kuwa na viburi vya madaraka katwa hata aliyekuwa anawapa kiburi naye alikatwa Mungu analipenda taifa. kata wote wenye viburi. Hata shetani naye alikatwa
 
Unaweza kuweka ushahidi Magufuli aliwateka watu wangapi na huo upinzani aliuaje weka ushahidi

Ushahidi umejaa tele humu mitandaoni, na isitoshe vyombo vinavyopaswa kudhibitisha uovu wake, vilikuwa sehemu ya kufunika uovu ule. Na hata sasa ukiwafuata waanze uchunguzi wengi watajificha kwenye dhana ya kulinda siri za Serekali.

Iwapo serikali itapinduliwa na kuingia utawala mwingine, na ukaamua kufuatilia ukweli wa tuhuma dhidi yake, utasikia ukweli ambao usingependa kuusikia. Ww baki kwenye huo unafiki wa kutaka ushahidi, maana unajua fika udhalimu wake lazima ulindwe.
 
Viongozi wadini wajielekeze kusaidia vituo vya wazee na yatima wasisahau wagonjwa na wajane wanaoteseka saaana waache kula mvinyo,kula Maraha,mademu na sadaka za waja wakishashiba wanajisahau wanajishuhulisha na kuombea wahuni misamaha!!!!
 
Hivi wakati huyu Msiba anatukana, kukashfu na kutishia watu, wao walikuwa wapi?

Maaskofu wa Kanisa Katoliki waliwahi kuandika Waraka kukemea maovu wakati wa Magufuli lakini Pengo aliukana waraka ule. Leo yeye wa kumwombea Msiba msamaha kweli?

Viongozi wa dini walikaa kimya hawakuonya chochote kipindi kile cha Giza wakati uovu ukitendwa hadharani au kazi yao SI kukemea Bali kuwaombea msamaha wahalifu wa wakati huo. Na kwa nini msamaha uwe ni kwa Msiba tu?

Kuna watanzania wangapi wameonewa lkn hawakuwaombea msamaha kwa waliowaonea?

Kama ni msamaha basi aliyestahili angalau kusikilizwa na kachero Membe ni ASKOFU MWAMAKULA kwani wote ni mashahidi alisimama na kweli hata kipindi kile tunapitishwa kwenye moto.

Msiba anastahili kulipa gharama za uovu wake Ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama zake. Kama ni msamaha huuombwa na mtu mwenyewe aliyekosa kwanza. Yule jeuri na mwehu hakuwahi kuomba msamaha licha ya nafasi aliyopewa.

Kila mmoja ataubeba msalaba wake mwacheni Msiba aubebe Msiba wake. Pengo na Malasusa acheni unafiki huu utaliangamiza taifa. Huyu kichaa SI wa kusamehewa hata kidogo.Au Hawa watumishi ni chawa wa Msiba?

Membe shikilia hapo hapo na mnada wa Mali zake za wizi urushwe live TBC taifa Kila mtanzania aone jinsi mshahara wa dhambi ulivyo mauti. Kwani wale waliomuunga mkono wako wapi Leo?
#membealipwetu#
Katika Mila za kiafrika huwa hatuongei wakati wa kula, enzi ya jiwe, Pengo na Malasusa walikuwa dinning table na jiwe pamoja na Musiba, Sasa hivi Malasusa anashindwa hata kumuondoa mchungaji Kimaro madarakani
 
Leo wako nje ya meza wanaropoka tuwapuuze
 
Hivi wakati huyu Msiba anatukana, kukashfu na kutishia watu, wao walikuwa wapi?

Maaskofu wa Kanisa Katoliki waliwahi kuandika Waraka kukemea maovu wakati wa Magufuli lakini Pengo aliukana waraka ule. Leo yeye wa kumwombea Msiba msamaha kweli?

Viongozi wa dini walikaa kimya hawakuonya chochote kipindi kile cha Giza wakati uovu ukitendwa hadharani au kazi yao SI kukemea Bali kuwaombea msamaha wahalifu wa wakati huo. Na kwa nini msamaha uwe ni kwa Msiba tu?

Kuna watanzania wangapi wameonewa lkn hawakuwaombea msamaha kwa waliowaonea?

Kama ni msamaha basi aliyestahili angalau kusikilizwa na kachero Membe ni ASKOFU MWAMAKULA kwani wote ni mashahidi alisimama na kweli hata kipindi kile tunapitishwa kwenye moto.

Msiba anastahili kulipa gharama za uovu wake Ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama zake. Kama ni msamaha huuombwa na mtu mwenyewe aliyekosa kwanza. Yule jeuri na mwehu hakuwahi kuomba msamaha licha ya nafasi aliyopewa.

Kila mmoja ataubeba msalaba wake mwacheni Msiba aubebe Msiba wake. Pengo na Malasusa acheni unafiki huu utaliangamiza taifa. Huyu kichaa SI wa kusamehewa hata kidogo.Au Hawa watumishi ni chawa wa Msiba?

Membe shikilia hapo hapo na mnada wa Mali zake za wizi urushwe live TBC taifa Kila mtanzania aone jinsi mshahara wa dhambi ulivyo mauti. Kwani wale waliomuunga mkono wako wapi Leo?
#membealipwetu#
Mkuu naomba kupingana nawe kwa sababu zifuatazo:

1. Kichungaji huwezi kuona akimkemea mtu hadharani hasa kama hujawagusa wao hadharani.

2. Kichungaji mtu akija kuomba radhi au kutubu makosa yake mchungaji au kasisi hawezi kuja kusema hadharani.

3. Ni kazi ya kasisi au mchungaji kumuombea msamaha mkosaji pale anapohitaji kuombewa msamaha yaani anapotubu na kukiri makosa yake(kitubio)

Hivyo wala sio unafiki bali wametekeleza jukumu lao la kichungaji
 
Nakubaliana na wewe lkn hoja ni kwamba kipindi musiba anatukana watu makanisa hayakuwepo? Kwani walishindwa kukemea hukohuko makanisani?
 
Kakataa kufuata hata Agizo Hili La Mungu!

Matthew 5:25
[25]Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Himenay
Hivi wakati huyu Msiba anatukana, kukashfu na kutishia watu, wao walikuwa wapi?

Maaskofu wa Kanisa Katoliki waliwahi kuandika Waraka kukemea maovu wakati wa Magufuli lakini Pengo aliukana waraka ule. Leo yeye wa kumwombea Msiba msamaha kweli?

Viongozi wa dini walikaa kimya hawakuonya chochote kipindi kile cha Giza wakati uovu ukitendwa hadharani au kazi yao SI kukemea Bali kuwaombea msamaha wahalifu wa wakati huo. Na kwa nini msamaha uwe ni kwa Msiba tu?

Kuna watanzania wangapi wameonewa lkn hawakuwaombea msamaha kwa waliowaonea?

Kama ni msamaha basi aliyestahili angalau kusikilizwa na kachero Membe ni ASKOFU MWAMAKULA kwani wote ni mashahidi alisimama na kweli hata kipindi kile tunapitishwa kwenye moto.

Msiba anastahili kulipa gharama za uovu wake Ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama zake. Kama ni msamaha huuombwa na mtu mwenyewe aliyekosa kwanza. Yule jeuri na mwehu hakuwahi kuomba msamaha licha ya nafasi aliyopewa.

Kila mmoja ataubeba msalaba wake mwacheni Msiba aubebe Msiba wake. Pengo na Malasusa acheni unafiki huu utaliangamiza taifa. Huyu kichaa SI wa kusamehewa hata kidogo.Au Hawa watumishi ni chawa wa Msiba?

Membe shikilia hapo hapo na mnada wa Mali zake za wizi urushwe live TBC taifa Kila mtanzania aone jinsi mshahara wa dhambi ulivyo mauti. Kwani wale waliomuunga mkono wako wapi Leo?
#membealipwetu

Himenayo na Fileto...
 
Nakubaliana na wewe lkn hoja ni kwamba kipindi musiba anatukana watu makanisa hayakuwepo? Kwani walishindwa kukemea hukohuko makanisani?
Bado narudia kusema, makasisi huwa hawaonyi hadharani kama wanasiasa. Wanaonyona sirini
 
Back
Top Bottom